kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #41
Nitakuwa makini wakati mwingineNilikuambiaje?
Kuwa makini na Umri wako mdogo haya mambo hayaitaji kujiachia kma unabembea
Pole mdogo wangu
Nitakuwa makini wakati mwingineNilikuambiaje?
Kuwa makini na Umri wako mdogo haya mambo hayaitaji kujiachia kma unabembea
Pole mdogo wangu
SijaelewaHuoni kama umezidi kisigino
Wee em sema kweli?! 😂😂😂😂Mapenzi huwa hayashauriki hapo akipigwa busu la shingo tu. Unajiona mjinga.. 😂
Nakuja kukufariji tu sio kukusababishia matatizo. Naelewa mkuu!..Hapana mkuu siko sawa
Siwezi kufanya hivyo ni heri nitafute mpenzi mpyaJaribu kujichua, hy haina stress
Nakazia.Haiwezekani maisha yanipe stress na mtu pia anipe stress hapana
Muongo huyu😁😁😁Wee em sema kweli?! 😂😂😂😂
Asante mkuu wakati mwingineNakuja kukufariji tu sio kukusababishia matatizo. Naelewa mkuu!..
Nitakuwa makini wakati mwingine
Kwa kweli, 😂😂😂😂M
Muongo huyu😁😁😁
Kabisa 😂Wee em sema kweli?! 😂😂😂😂
Makosa madogo tu mkuukwani unafanya makosa gani?😦
Unaachaje Kwa urahis hivi Kwanza hukutuandaaSijaelewa
Umenichekesha kifalaWee em sema kweli?! 😂😂😂😂
Ndiyo natulia mkuuBado tulia kwanza saivi si bado una wenge la kuachana😂😂
Kwanini? 😂😂😂😂Umenichekesha kifala
Even now you're joking.I was joking🙄🥲
Em apia. 😂😂😂Kabisa 😂
Hapa nakazia kabisa mkuu..
Usisahau kula kwakweli na kunywa maji mengi na matundaNdiyo natulia mkuu