Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

Kwani mataifa mengine huwa hayashushi bendera?, kwa mfano bwana wetu Uingereza?
 
swali gumu sana hili maana hadi sasa hakuna mwenye jibu ,wote tulliocomment hapa ni kilio na kusaga meno
 
Nyie siasa mwaijua lakini? ila, ngojeni waliosoma elimu ya siasa watakuwa na majibu

Ndugu msomaji husika na kichwa hapo juu. Tumezoea kuona bendera ya Taifa ikipandishwa asubuhi na kushushwa jioni kila siku. Hivi kuna mantiki gani ya kupandisha na kushusha bendera kila siku? Je, kupandisha bendera asubuhi kunaimanisha kwamba Taifa na Serikali yake limeamka kutoka usingizini? Je, kushusha bendera kila jioni kunaimanisha SERIKALI inaenda kusinzia? Ni masuala ambayo huwa najiuliza nashindwa kuelewa.
 
nachojua, serikali inafanya kazi kwa masaaa, hivyo kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi 12:00 serilali inakuwa kazini....baada ya hapo serikali ipo kazini kwa dharura tu, ila maamuzi yanafanyika kipindi cha mchana, ..... ndio maana yake

Mbaya zaidi ni pale afande anapopuliza filimbi watu wasimame mpaka amalize kuishusha.
Mimi ningependekeza bendera ipepee mipakani,majengo ya balozi zetu basi.Ipepee muda wote mpaka itakapochakaa na kubadilishwa.
Sio kila mtu nyumbani kwake anatundika bendera utadhani wale wasionazo sio raia
 
nachojua, serikali inafanya kazi kwa masaaa, hivyo kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi 12:00 serilali inakuwa kazini....baada ya hapo serikali ipo kazini kwa dharura tu, ila maamuzi yanafanyika kipindi cha mchana, ..... ndio maana yake
andrewk unamaanisha Baraza la Mawaziri halikutani zaidi ya saa 12 jioni?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu msomaji husika na kichwa hapo juu. Tumezoea kuona bendera ya Taifa ikipandishwa asubuhi na kushushwa jioni kila siku. Hivi kuna mantiki gani ya kupandisha na kushusha bendera kila siku? Je, kupandisha bendera asubuhi kunaimanisha kwamba Taifa na Serikali yake limeamka kutoka usingizini? Je, kushusha bendera kila jioni kunaimanisha SERIKALI inaenda kusinzia? Ni masuala ambayo huwa najiuliza nashindwa kuelewa.
Wakati wa usiku serikali inakuwa usingizini na mida yote serikali ikiwa usingizini Jeshi hutawala nyakati za usiku, na wakati wa asubuhi serikali inaamka mpaka 12 jioni. Muda wote wa usiku jeshi ndo lenye nguvu na ndio hutawala na wakati huo bendara zote zinatakiwa kushushwa na kubaki bendera ya JESHI.Usiulize sana mambo haya.
 
Kwa kawaida na kwa macho muda mchana serikali huwa kazini. Inapotimia saa nne usiku nchi inakuwa rasmi chini ya mkuu majeshi kwa ulinzi kamili. Wakati huo serikali inakuwa usingizini au iko bar au dansini.
 
kwanini?
 
Mkuu bendera inashushwa saa 12 jioni, wewe unasema jeshi huanza ulinzi saa 4 za usiku!
Jee kutoka saa 1 usiku hadi saa 3 usiku nchi inakua chini ya nani?
 
Nafikiri hata madawa yanasafirishwa usiku, magogo na meno ya tembo hivyo hivyo, ndo maana kuna siku TANESCO wanazima umeme nchi nzima kwa ghafla tu kama nusu saa hivi, usiku ni wakupiga dili, bendera haina maana...
 
Tumeletewa na tumeyapokea bila ya kuhoji! Chezea mzungu wewe...
 
nachojua, serikali inafanya kazi kwa masaaa, hivyo kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi 12:00 serilali inakuwa kazini....baada ya hapo serikali ipo kazini kwa dharura tu, ila maamuzi yanafanyika kipindi cha mchana, ..... ndio maana yake

kama kuna ukweli vile
 
Swala hili lipo kijeshi zaidi, si rahisi kwa raia wa kawaida kuelewa wala si ukoloni unaoendelea...Saa zote za mchana shughuli za ujenzi wa taifa hufanyika, Hii huwakilishwa na bendera ya taifa inayopepea juu ya mlingoti...Pindi ifikapo saa kumi na mbili kamili jioni shughuli zote husimama na watu wanaruhusiwa kupumzika mpaka kesho yake saa 12 kamili asubuhi..bendera hushushwa na kuhifadhiwa kwa heshima kubwa kuruhusu Jeshi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama kulinda raia pamoja na mali zao pia Mipaka ya nchi wakati raia wamepumzika...
 
Back
Top Bottom