Hekaya za Abunuasi
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 166
- 38
Jamani kama kuna yeyote anafahu vilipo vitabu vifuatavyo anijulishe;Wagagagigigogo,Bulicheka,Hawara ya fedha,Mabala the farmer na cha Abunuaso
Ni huko Rolya.
Ameenda mahakama ya wilaya,akaishusha bendera ya Taifa.
Akaenda nayo kwake na kwenda kuifanya Shuka!
Amekamatwa na sasa yupo Lupango.
Chanzo:RFA _Matukio.
mwigulu nchemba kujifunika bendera ruksa, lakini wengine marufuku, eti?
Mbona Mwigulu anaivaa shingoni na mijasho yake!!
Badala ya kushukuru kuwa angalau, katika Tanzania kuna mzalendo mmoja.
Ambaye anadiriki hata kujifunika na hiyo bendera, hebu wamtangaze kama mzalendo huko.