Insha allahAllah atufanyie wepesi,
Hizi ID za kujificha humu JF, saiv ndio nimeanza kutambua imani za watu
ShukraanAsalam aleykum ..hakika ndug zang nawakumbusha juu ya vitu vidogo vitakavyoweza sababishia kuptea kwa swaumu zetu na tuzichunge sana...simu..huku kwe mitandao facebook.whatssap.instragram nk..tujaribu kupunga matumizi inawez kupunguza ubora wa swaume zetu...
Television...nazo tuziepuka maana kuna mavipind ya ajabu ajabu km miziki,tamthilia zingne mbaya watu wanashinda uchi hii pia itapunguza ubora.wa swaumu zetu..pia la mwisho...swaumu bila swala ni bure tufunge na tuswal vipind vyote vitano..inshaallah..mwenyez mung atufanyie wepec kwa haya
Ni kweli asee, hasahasa Facebook na instagram, Mimi hiyo nishaisahau hata kama nimitandao ya kijamii, natumiaga whatsap pekeeAsalam aleykum ..hakika ndug zang nawakumbusha juu ya vitu vidogo vitakavyoweza sababishia kuptea kwa swaumu zetu na tuzichunge sana...simu..huku kwe mitandao facebook.whatssap.instragram nk..tujaribu kupunga matumizi inawez kupunguza ubora wa swaume zetu...
Television...nazo tuziepuka maana kuna mavipind ya ajabu ajabu km miziki,tamthilia zingne mbaya watu wanashinda uchi hii pia itapunguza ubora.wa swaumu zetu..pia la mwisho...swaumu bila swala ni bure tufunge na tuswal vipind vyote vitano..inshaallah..mwenyez mung atufanyie wepec kwa haya
Kama mnaishi pamoja kwanini msioane ? kufunga ndoa hakuchukui hata dakika 10MFUNGO UNAANZA LINI NA MIMI NIJITAHIDI KUFUNGA,,
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA
SWALI;KWA MUME NA MKE WANOISHI PAMOJA BILA NDOA KWENYE MFUNGO HAPO INAKUAJE
Nilikuwa nakufuatilia sana katika post Zako, ila nilikuwa sijajua kama nawewe ni Muslim, mashaallah kheri iwe juu yakoAmeen. Ameen. Ameen.
View attachment 514979