Ramadhan Special Thread

allahuma inna kaafuuu tuhibbul afwaaa faafwannaaa yaaa karyyym alfuww. haya ni maneno mtume saw alikuwa akiyataja sana ramadhan. tupunguze soga,story za vijiweni,instagram,magroup yasio na msingi, tukithirishe kuskiliza mawaidha na kujua mambo ya dini. Na pia quraaan kusoma kwa wengi wakat ndio huuu kuziba mashimp dunia si chchte akina ivan walikuwa wanacheza na madola kwenye mitandao sasa yuko maiti lets wake up brothers and sisters fill imaaan
 
MAKOSA TUNAYOFANYA KIPINDI
CHA MWEZI WA RAMADHAN.
Assalam alaikum. Kwanza niwatakie
kheri ya mwezi mtukufu wa
Ramadhan rafiki zangu wote.
Kichwa cha habari ya makala hii
nimekinukuu kutoka kwa sheikh
aliyehutubu katika msikiti wa Ijumaa
mjini Tanga, pia maudhui ya habari
yenyewe nimeyapata kutoka kwa
sheikh huyu maaruf Sheikh Kakhtwan
ni Naibu Mudir wa Taasisi ya Ansaar
Muslim.
Nitafurahi zaidi kuona watu baada ya
kusoma makala hii wakai - share ili
waislam wote wafaidike na waadhi
huu kupitia mtandao wa facebook, na
Haya ndio matumizi mazuri ya
mtandao ambayo Mungu ataturidhia.
Sheikh ameeleza mambo mengi
ambayo yanafanya swaum zetu
pengine zisiwe ni zenye kukubaliwa
na Mungu Lakini nimenukuu nukta
kadhaa ambazo nimeiona ni lazima
nanyi mzipate.
1. KUFUNGA BILA YA KUSWALI.
waislamu wengi wanaipa heshma
ibada ya funga na kuitelekeza swala,
hili ni kosa kubwa kwa mfungaji na
huenda funga yake ikawa ya
mashaka. Hivyo basi mwenye
kufunga ni lazima aswali vipindi
vyote vitano.
2. KUFUNGA BILA YA UKARIMU
Kadhalika waislam wengi hufunga
Lakini nafsi zao hazibadiliki na kuwa
ni wenye huruma na imani kwa
waislam wenzako, umefunga Lakini
hujali kama kuna waislamu wenzako
hawana futari. Hili nalo ni kosa.
3. KUFUNGA KULA NA KUNYWA TU.
waislam wengi hufunga kwa kuacha
Kula na kunywa Lakini Bado
huendelea na matendo ya maaswi
kama kawaida. Mfano kusema uongo,
kusengenya, kuiba, kudhulumu, kuzini
baada ya ftari na kadhalika.
matendo hayo hayafai siku zote
Lakini hayafai zaidi ikiwa umefunga
hapo ni Sawa na kutwanga maji
kwenye kinu.
4. KUFUNGA BILA YA KUIJUA
RAMADHAN
Waislamu wengi imegundulika
wanafunga bila ya kuwa na ilmubya
mwezi mtukufu wa Ramadhan, yaani
kwanini tunafunga, faida za funga ni
Zipi kidini na kiafya, nini hasara za
mwenye kuacha kufunga, ni yapi
yafanyike kipindi cha mwezi wa
Ramadhan na ni yapi hayafai
kuyafanya japo ni halali.
Sheikh akatoa mfano wa maswali
yanayojirudia katika madarasa na
yanaulizwa na watu wazima ambao
wamefunga ramadhan zaidi ya
Ishirini. Mtu anauliza "inafaa
kumuingilia mkeo ukiwa umefunga?"
Haya ni mambo ya kujifunza Tangu
Ramadhan za mwanzo.
Hivyo ni Muhimu kuwa na Ilmu ya
mwezi wa Ramadhan kama vile
huwezi kutengeneza gari mpaka ukae
Kigali.upfundishwe namna ya
kutengeneza gari. Na ujuzi mwingine
wowote....
5. KUFUNGA BILA YA KUSOMA
QURAN.
Waislamu wengi hufunga Lakini
husahau kusoma Kitabu kitakatifu -
Quran Kareem, tumesahau au hatujui
kuwa Quran imeshushwa ndani ya
mwezi huu mtukufu. Na kuisoma
ndani ya mwezi huu kuna fadhila
nyingi zaidi kuliko Ile miezi mingine.
Sheikh ameeleza hapo zamani watu
wachaMungu walikuwa wakisoma
Quran na kuikamilisha ndani ya siku
tatu.
Lakini kwa sasa watu wanakosa Hata
ukurasa mmoja, hii ni kuisahau Quran
hivyo sheikh amesisitiza tusome
Quran japo juzuu moja kwa siku na
mwezi ukiisha tutakuwa
tumekamilisha msahafu mzima.
6. KUFUNGA BILA YA KUMUIGA
MTUME
Waislam wengi wanafunga kwa
kuwaiga wazazi wao au jamii
iliyowazunguka, itakuwa ni Sawa
kama wao wanamuiga mtume Lkn
itakuwa si Sawa kama wanafunga bila
yakujua mtume ilikuwa ni silo summa
zake wakati wa Ramadhan.
Sheikh akatoa mfano Mtume (SAW)
alipokuwa akifungua funga yake
yaani kufturu alifuturu kwa Kula
tende au kunywa maji na hii ins faida
upande wa afya. Ni wakati gani
mtume alikula Daku, wengi wetu hula
daku saa nne au tano Usiku, mtume
hakufanya hivyo.
Hivyo ni muhimu Kuiga funga ya
mtume.
7. KUFUNGA HUKU UNAPOTEZA
MUDA KWA MICHEZO NA KULALA.
Waislam wengi imekuwa ni ada kwao
kufunga huku muda mwingi
wakiutumia kulala au kucheza
michezo kama karata, drafti, dhumna,
keram na kadhalika.
Hakika hii ni hasara kubwa
tuliyonayo. Muislam anafunga
anaamka saa sita mchana anaoga
anaingia msikitini anaswali dhuhuri
watu wakibaki msikitini kusoma
Quran yeye anatoka anakwenda
maskani kupiga soga na.kucheza
michezo tofauti. Na hasara iliyoje
mambo Haya kufanywa na watu
wazima. Hivyo waislam
tunakumbushwa kuepukana na
mambo Haya ya kulala sana na
kufanya mchezo mwezi huu wa
Ramadhani.
8. KUFUNGA BILA YA KUJALI
KUKUBALIWA KWA IBADA HII.
Waislam wengi hufunga kwa mazoea
na hawana wasiwasi kuwa ibada hii
imekubaliwa na Mungu au la! Ni kweli
huwezi kujua wala hatuwezi kujua
kama ibada zetu za funga
zimekubaliwa, lakini ili kujiwekea
mazingira ya kukubaliwa ni lazima
kuwa na ghofu na wasiwasi kwa kila
jambo ambalo tunafanya na ukiwa na
wasiwasi nalo ni bora kuuliza au
kuacha.
9. KUFUNGA KWA KUPANGA RATIBA
ZA KULA KULIKO IBADA.
Waislamu ifikapo mwezi wa
Ramadhani hurundika vyakula
majumbani na kukaa na familia zao
na kuongea watu wale nini iftari na
daku watakula nini, lakini hakuna
anayethubutu kuitisha kikao na family
yake na kuongea kuhusu mpangilio
wa ibada, watu wasome juzuu ngapi
kwa siku waamke saa ngapi kufanya
qiyamu llayli.
Akina mama wamekuwa
wakishughulishwa majumbani kupika
sana kiasi Hata wanakosa muda wa
kusoma Quran kusikiza Darasa iwe
misikitini au kwenye radio. ALLAH NDIO MJUZI
 
MAKOSA TUNAYOFANYA KIPINDI
CHA MWEZI WA RAMADHAN.
Assalam alaikum. Kwanza niwatakie
kheri ya mwezi mtukufu wa
Ramadhan rafiki zangu wote.
Kichwa cha habari ya makala hii
nimekinukuu kutoka kwa sheikh
aliyehutubu katika msikiti wa Ijumaa
mjini Tanga, pia maudhui ya habari
yenyewe nimeyapata kutoka kwa
sheikh huyu maaruf Sheikh Kakhtwan
ni Naibu Mudir wa Taasisi ya Ansaar
Muslim.
Nitafurahi zaidi kuona watu baada ya
kusoma makala hii wakai - share ili
waislam wote wafaidike na waadhi
huu kupitia mtandao wa facebook, na
Haya ndio matumizi mazuri ya
mtandao ambayo Mungu ataturidhia.
Sheikh ameeleza mambo mengi
ambayo yanafanya swaum zetu
pengine zisiwe ni zenye kukubaliwa
na Mungu Lakini nimenukuu nukta
kadhaa ambazo nimeiona ni lazima
nanyi mzipate.
1. KUFUNGA BILA YA KUSWALI.
waislamu wengi wanaipa heshma
ibada ya funga na kuitelekeza swala,
hili ni kosa kubwa kwa mfungaji na
huenda funga yake ikawa ya
mashaka. Hivyo basi mwenye
kufunga ni lazima aswali vipindi
vyote vitano.
2. KUFUNGA BILA YA UKARIMU
Kadhalika waislam wengi hufunga
Lakini nafsi zao hazibadiliki na kuwa
ni wenye huruma na imani kwa
waislam wenzako, umefunga Lakini
hujali kama kuna waislamu wenzako
hawana futari. Hili nalo ni kosa.
3. KUFUNGA KULA NA KUNYWA TU.
waislam wengi hufunga kwa kuacha
Kula na kunywa Lakini Bado
huendelea na matendo ya maaswi
kama kawaida. Mfano kusema uongo,
kusengenya, kuiba, kudhulumu, kuzini
baada ya ftari na kadhalika.
matendo hayo hayafai siku zote
Lakini hayafai zaidi ikiwa umefunga
hapo ni Sawa na kutwanga maji
kwenye kinu.
4. KUFUNGA BILA YA KUIJUA
RAMADHAN
Waislamu wengi imegundulika
wanafunga bila ya kuwa na ilmubya
mwezi mtukufu wa Ramadhan, yaani
kwanini tunafunga, faida za funga ni
Zipi kidini na kiafya, nini hasara za
mwenye kuacha kufunga, ni yapi
yafanyike kipindi cha mwezi wa
Ramadhan na ni yapi hayafai
kuyafanya japo ni halali.
Sheikh akatoa mfano wa maswali
yanayojirudia katika madarasa na
yanaulizwa na watu wazima ambao
wamefunga ramadhan zaidi ya
Ishirini. Mtu anauliza "inafaa
kumuingilia mkeo ukiwa umefunga?"
Haya ni mambo ya kujifunza Tangu
Ramadhan za mwanzo.
Hivyo ni Muhimu kuwa na Ilmu ya
mwezi wa Ramadhan kama vile
huwezi kutengeneza gari mpaka ukae
Kigali.upfundishwe namna ya
kutengeneza gari. Na ujuzi mwingine
wowote....
5. KUFUNGA BILA YA KUSOMA
QURAN.
Waislamu wengi hufunga Lakini
husahau kusoma Kitabu kitakatifu -
Quran Kareem, tumesahau au hatujui
kuwa Quran imeshushwa ndani ya
mwezi huu mtukufu. Na kuisoma
ndani ya mwezi huu kuna fadhila
nyingi zaidi kuliko Ile miezi mingine.
Sheikh ameeleza hapo zamani watu
wachaMungu walikuwa wakisoma
Quran na kuikamilisha ndani ya siku
tatu.
Lakini kwa sasa watu wanakosa Hata
ukurasa mmoja, hii ni kuisahau Quran
hivyo sheikh amesisitiza tusome
Quran japo juzuu moja kwa siku na
mwezi ukiisha tutakuwa
tumekamilisha msahafu mzima.
6. KUFUNGA BILA YA KUMUIGA
MTUME
Waislam wengi wanafunga kwa
kuwaiga wazazi wao au jamii
iliyowazunguka, itakuwa ni Sawa
kama wao wanamuiga mtume Lkn
itakuwa si Sawa kama wanafunga bila
yakujua mtume ilikuwa ni silo summa
zake wakati wa Ramadhan.
Sheikh akatoa mfano Mtume (SAW)
alipokuwa akifungua funga yake
yaani kufturu alifuturu kwa Kula
tende au kunywa maji na hii ins faida
upande wa afya. Ni wakati gani
mtume alikula Daku, wengi wetu hula
daku saa nne au tano Usiku, mtume
hakufanya hivyo.
Hivyo ni muhimu Kuiga funga ya
mtume.
7. KUFUNGA HUKU UNAPOTEZA
MUDA KWA MICHEZO NA KULALA.
Waislam wengi imekuwa ni ada kwao
kufunga huku muda mwingi
wakiutumia kulala au kucheza
michezo kama karata, drafti, dhumna,
keram na kadhalika.
Hakika hii ni hasara kubwa
tuliyonayo. Muislam anafunga
anaamka saa sita mchana anaoga
anaingia msikitini anaswali dhuhuri
watu wakibaki msikitini kusoma
Quran yeye anatoka anakwenda
maskani kupiga soga na.kucheza
michezo tofauti. Na hasara iliyoje
mambo Haya kufanywa na watu
wazima. Hivyo waislam
tunakumbushwa kuepukana na
mambo Haya ya kulala sana na
kufanya mchezo mwezi huu wa
Ramadhani.
8. KUFUNGA BILA YA KUJALI
KUKUBALIWA KWA IBADA HII.
Waislam wengi hufunga kwa mazoea
na hawana wasiwasi kuwa ibada hii
imekubaliwa na Mungu au la! Ni kweli
huwezi kujua wala hatuwezi kujua
kama ibada zetu za funga
zimekubaliwa, lakini ili kujiwekea
mazingira ya kukubaliwa ni lazima
kuwa na ghofu na wasiwasi kwa kila
jambo ambalo tunafanya na ukiwa na
wasiwasi nalo ni bora kuuliza au
kuacha.
9. KUFUNGA KWA KUPANGA RATIBA
ZA KULA KULIKO IBADA.
Waislamu ifikapo mwezi wa
Ramadhani hurundika vyakula
majumbani na kukaa na familia zao
na kuongea watu wale nini iftari na
daku watakula nini, lakini hakuna
anayethubutu kuitisha kikao na family
yake na kuongea kuhusu mpangilio
wa ibada, watu wasome juzuu ngapi
kwa siku waamke saa ngapi kufanya
qiyamu llayli.
Akina mama wamekuwa
wakishughulishwa majumbani kupika
sana kiasi Hata wanakosa muda wa
kusoma Quran kusikiza Darasa iwe
misikitini au kwenye radio. ALLAH NDIO MJUZI
swadakta mkuu,ila hilo jina lako linanitisha wasije wakaja CIA hapa
 
Ramadan-Good-Deeds-Prophet-Muhammad-ï·º-Quote-Hadith-Picture.jpg
 
KWA RADHI ZAKE TAALA MWEZI UMETUFIKIA

TWASEMA AHLAN WASAHLA RAMADHAANI KARIBIA

KWA FUTARI ZA MASALA NA DAKU ZA KUVUTIA

NA WINGI MNO WA SWALA ZA SUNNA NA FARDHIA

ALLAH ATUPE SAHALA NA TUFUNGENI KWA NIA

ILI PEPO YA TAALA SOTE TUPATE INGIA

Ramadhaan Kareem
 
Back
Top Bottom