Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,067
- 100,850
Hmm labda lakini..bisha lakini ukweli utabakia mim ni born chini ya hio90
Hmm labda lakini..bisha lakini ukweli utabakia mim ni born chini ya hio90
Basi Sawa😂😂😂 sema hata njiani tulikuwa tunakutana na wanyama tunapiga nao stori
Duh Adriz uwe unasalimia jamaniChuo AI imenisaidia sana kwenye research na assignment , nikiwa bize sana assignment nachukua majibu Ai Kisha naenda Stationery kuprint tu baada ya kuedit kidogo .
Naogopa vibaya mno baba mtakatifu! Mambo ya kukaa chooni unawaza mamba asijetumwa akapita na mnofu akhaa🤣🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️Mamq mchungaji seran kwani unaogopa kuolewq ukerewe utatumiwq mamba kwenye glass
Jf nimejiunga 2017 nipo form three , chuo nimemaliza degree mwaka janaDuh Adriz uwe unasalimia jamani
AI si ya juzi tu hapo na ikakukuta hujamaliza kusoma 😀😀
Ukute ndio uko zako na hawa waliomaliza last week field zao za 2nd year 😀
😅 nakumbuka hyo siku tulitumwa maji kwenye milima ya morogoroBasi Sawa😂
Unakumbuka ile siku tulivyovamiwa na wale wahindi wekundu waka Chukua madaftari yetu wakidhani ni nyama
Duhh! 2017 ndio nanyonyesha last born wangu🫢Jf nimejiunga 2017 nipo form three , chuo nimemaliza degree mwaka jana
Na chumvi mlifuata uvinza enzi hizo!😅 nakumbuka hyo siku tulitumwa maji kwenye milima ya morogoro
😂 hii ni fedheha kubwa mno kunilinganisha mimi na Gen z mimi nimesoma na WasiraUkute ndio uko zako na hawa waliomaliza last week field zao za 2nd year 😀
Tena ilinikuta semester ya pilli mwaka wa kwanza , imeniokoa sana maana mimi ni mbovu wa kufanya assignment.Duh Adriz uwe unasalimia jamani
AI si ya juzi tu hapo na ikakukuta hujamaliza kusoma 😀😀
Marahaba mdogo wangu mzuri 😀😀Jf nimejiunga 2017 nipo form three , chuo nimemaliza degree mwaka jana
Inategemea na uelewa wa mwanafunziMiaka yetu olevel ukimpa mwanafunzi calculator afanye hesabu si kila mtu atapata A?
Ogopa sana mtu anayefosi ukubwa 😀😀😂 hii ni fedheha kubwa mno kunilinganisha mimi na Gen z mimi nimesoma na Wasira