Sijilaumu kuokota mswaki🫢Ety na four figure tu 😂
Hatukusoma chekechea/vidudu wala kutumia vifaa vya kisasa ila ule usumbufu tuliouonesha(brightness)uliwaacha watu vinywa wazi na alhamdulillah maisha yaendaaa!Tulisaidiwa sana kwa kula matunda aina ya ntalali,mbuguswa na ndati.raia yoyote aliesavaivu kipindi hicho upstairs lazima awe vizuri.
View attachment 3583246
Never! We mwenyewe mdogoangu wangapi sijui!
🤔 Hakika kama raia alisavaivu kipindi hicho lazima awe vizuri upstairsHatukusoma chekechea/vidudu wala kutumia vifaa vya kisasa ila ule usumbufu tuliouonesha(brightness)uliwaacha watu vinywa wazi na alhamdulillah maisha yaendaaa!Tulisaidiwa sana kwa kula matunda aina ya ntalali,mbuguswa na ndati.
chatgpt anakufanyia kazi yako yote😁, watoto wa siku hizi wana raha sana, sisi tuliosoma chini ya miti tuliteseka mno, unakaa dar shule ipo tanga kila siku unaenda shule,Sio poa ety sasahivi unapiga mtihani picha halafu kazi yako ni kucopy na ku paste 😂
Zilikuwepo ila hamkuruhusiwa kuingia nazo basi😆Hahaha mim siwezi kuwa mdogo wako maan nimesavaivu kipindi hakuna calculator
Umenikumbusha kaka nilikuwa nasolve resolution of vectors kwa kutumia cosine rule na pia uapply log10 ndo upate resultant of forceMuch respect
Bora nyie, sisi shule ilikuwa ukerewe na hakukuwa na meli, humu tu🏊♂️chatgpt anakufanyia kazi yako yote😁, watoto wa siku hizi wana raha sana, sisi tuliosoma chini ya miti tuliteseka mno, unakaa dar shule ipo tanga kila siku unaenda shule,
Kwakweli.Maisha ni haya haya tu shindii
Kama umezaliwa chini ya 95 hapo sawa, ila tofauti na hapo sahau 😆
au unapanda mamba, maana huko ukerewe nasikia watu wanaishi na mamba kama jamaa zao 😁Bora nyie, sisi shule ilikuwa ukerewe na hakukuwa na meli, humu tu🏊♂️