min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,706
- 175,720
😅 salimia dogoJf nimejiunga 2017 nipo form three , chuo nimemaliza degree mwaka jana
😅 salimia dogoJf nimejiunga 2017 nipo form three , chuo nimemaliza degree mwaka jana
Kwa nini 😁Ogopa sana mtu anayefosi ukubwa 😀😀
Anakuwa ni mdogoKwa nini 😁
Sasa dogo umehitimu wewe ama AI?Chuo AI imenisaidia sana kwenye research na assignment , nikiwa bize sana assignment nachukua majibu Ai Kisha naenda Stationery kuprint tu baada ya kuedit kidogo .
Mi ni mkubwa sana kwako Depal uwe unanisalimia 😎Anakuwa ni mdogo
Ukubwa upo tu Dosho utaukuta
Hao watoto tu wa 2000 now wana 26yrs.. ukubwa utaukuta, usiukimbilie 😀😀😀😀
70% ya watz wamezaliwa baada ya 1990. Nchi imejaa machipukizi kwahiyo tusitambiane.still young
sema shikamoo bro
Sawa kaka. Shikamoo in advance 😀😀Mi ni mkubwa sana kwako Depal uwe unanisalimia 😎
hapo angelikuwa mwingne ni tusi ila asante kwa kunielewa. Nilifundishwa na mwalimu ambaye alijali spellings kuliko chochote kwa kazi yake. R.i.p peter kenedy aka pk
Naona Mods wamekufichia aibuSio kingereza ni kifaransa