Raise your hand if you survived in school without Tablets, Wi-Fi, calculator or Google

Raise your hand if you survived in school without Tablets, Wi-Fi, calculator or Google

Form 4 yangu nilimaliza 2004 @16yrs mda huo hata walimu hawakua na simu nakumbuka hata facebook mnayoijua ilikuwa inaitwa mygamma mwaka 2009 hapo. Ila msiinite mhenga niliwah kwenda shule coz hakukua na ndama wa kuchunga sa kubaki mwenyewe home ikawa kero ikabid nawai na wakubwa kwenda shule mwisho wa cku nikajikuta napenda yale mazingira.
 
Back
Top Bottom