Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,797
Meli karibu zote za kisasa duniani zinatumia heavy diesel oil.Kuna haja ya kubadili mifumo ya nishati ya meli za serikali. Serikali iangalie uwezekano wa meli zote mpya zinazojengwa ziwa Victoria, Tanganyika na bahari ya Hindi kutumia nishati ya gesi ambayo ni nafuu sana ili meli hizi zianze kuendeshwa kwa faida.
Mwinyi pia angefanya 'last attempt' kwa kutenga fedha na kununua gas fired engines na kufunga kwenye baadhi ya meli, hasa zile ambazo ni mpya-mpya aone kama ufanisi utaongezeka kwa kupugua kwa gharama ya nishati.
Gas is our future...