Rais Dk. Mwinyi asema Serikali itaweka miundombinu bora kwa michezo yote Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaweka miundombinu bora kwa michezo yote Zanzibar.

Rais Dk. Mwinyi amesema hayo katika hafla fupi ya uwekaji wa Jiwe la Msingi viwanja vya nje vya Amaan vitakavyojumuisha michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, mmpira wa meza, netiboli, mpira wa wavu,mpira wa vinyoya,mpira wa kikapu, mpira wa mikono,mchezo wa judo, michezo ya ngumi ikiwemo masumbwi, jujistsu, taekwondo na karate tarehe 14 Desemba, 2023.
IMG-20231215-WA0000.jpg
IMG-20231215-WA0001.jpg
IMG-20231215-WA0009.jpg
IMG-20231215-WA0005.jpg
IMG-20231215-WA0010.jpg
IMG-20231215-WA0007.jpg
IMG-20231215-WA0008.jpg
IMG-20231215-WA0003.jpg
IMG-20231215-WA0004.jpg
IMG-20231215-WA0006.jpg
IMG-20231215-WA0002.jpg
 
Vp pichi ya Amaan bado ni bandia au nyasi halisi? Karibu mapinduzi Cup (kombe la dunia zanzibar)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom