Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,963
Kuna serikali zinaweza, Bali shida hapa ni hii serikali ya CCMInshort serikali haiwezi biashara.
Kwenye sehemu za taaluma wanaweka makada, makada wanaiba hadi shirila linakufa hakuna anayejali. Baada ya muda wanahamishiwa shirika lingine
Hakuna biashara mbaya, bali ni namna yaa kufanya hiyo biashara. Kwa serikali hizi za kichama hata anunue meli mpya kila siku bado ni kazi bure tu