Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

MARAIS WA AFRICA NA SAFARI ZA NJE

Rais uhuru kenyatta wa kenya aliingia kwenye madaraka mwaka 2013/2014 akiwa rais wa awamu ya nne wa kenya

Akiwa rais kwa awamu ya kwanza ya urais alisafiri nje mara ya kenya mara 56

Miezi hii ya uhuru kenyatta amesafiri mara kumi na tatu
Mpaka sasa huyu rais wa kenya amesafiri zaidi ya mara mia moja 100 kwenda nje ya nchi ya kenya

Raisi uhuru kenyatta amemuzidi
Rais daniel arap moyo kusafiri nje ya nchi ambaye yeye alitawala miaka 24 huku yeye huu mwaka wake wa 8 -9

Mwaja 2019 rais KAGAME amesafiri kwenda nje ya nchi mara 59 na kumzidi waziri mkuu wa uingereza borrison johson ambaye amesafiri kwa huo mwak mara 3 tu safari za kagame za nje ya nchi zina zidi zile za rais obama katika maiak yake yote ya utawala akiwa alitawala miaka 8
Akasafiri kwenda nje mara 55 hapo 2019 kagame amesafiri nje ya nchi mara nyingi kuliko obama kwa mwaka 2019

Mwaka 2018 kagame alisafiri mara 34

Mwaka huu waziri mkuu wa uingereza borrison johnson amesafiri mara moja tu kwenda nje ya nchi

Raisi wa marekani Joe badden amesafiri kwenda nje ya nchi mara tatu toka awe rais wa marekani

Rais wa tanzania kwa mujibu wa katiba ya tanzania aliingia madaraki mwezi wa 3 tangia aingie madarakani amefanya safari za mara tisa 9 huku ana miezi sita tu ya utwala

Nadhani umejifunza kitu hapo nchi nyingi za africa hazina watu wa kuziongoza ila zina watembezi

Mfano ziara za uhuru kenyatta zina jenga shule za msingi zaidi kumi nane zile za kageme hatari sasa kwa kiwango cha kawaida darasa moja milion 20 safari ya rais moja ina zaidi ya million 4 za kenya
 
MARAIS WA AFRICA NA SAFARI ZA NJE

Rais uhuru kenyatta wa kenya aliingia kwenye madaraka mwaka 2013/2014 akiwa rais wa awamu ya nne wa kenya

Akiwa rais kwa awamu ya kwanza ya urais alisafiri nje mara ya kenya mara 56

Miezi hii ya uhuru kenyatta amesafiri mara kumi na tatu
Mpaka sasa huyu rais wa kenya amesafiri zaidi ya mara mia moja 100 kwenda nje ya nchi ya kenya

Raisi uhuru kenyatta amemuzidi
Rais daniel arap moyo kusafiri nje ya nchi ambaye yeye alitawala miaka 24 huku yeye huu mwaka wake wa 8 -9

Mwaka 2019 rais KAGAME amesafiri kwenda nje ya nchi mara 59 na kumzidi waziri mkuu wa uingereza borrison johson ambaye amesafiri kwa huo mwak mara 3 tu safari za kagame za nje ya nchi zina zidi zile za rais obama katika maiak yake yote ya utawala akiwa alitawala miaka 8
Akasafiri kwenda nje mara 55 hapo 2019 kagame amesafiri nje ya nchi mara nyingi kuliko obama kwa mwaka 2019

Mwaka 2018 kagame alisafiri mara 34

Mwaka huu waziri mkuu wa uingereza borrison johnson amesafiri mara moja tu kwenda nje ya nchi

Raisi wa marekani Joe badden amesafiri kwenda nje ya nchi mara tatu toka awe rais wa marekani

Rais wa tanzania kwa mujibu wa katiba ya tanzania aliingia madaraki mwezi wa 3 tangia aingie madarakani amefanya safari za mara tisa 9 huku ana miezi sita tu ya utwala

Nadhani umejifunza kitu hapo nchi nyingi za africa hazina watu wa kuziongoza ila zina watembezi

Mfano ziara za uhuru kenyatta zina jenga shule za msingi zaidi kumi nane zile za kageme hatari sasa kwa kiwango cha kawaida darasa moja milion 20 safari ya rais moja ina zaidi ya million 4 za kenya

Nadha
 
Duuh, Nihatari sana

____________________________________
 
Mwanamke wa kwanza kuhutubia baraza kuu la Umoja wa Mataifa la 76 tangu tupate uhuru ni Mama Samia Suluhu Hassan,

We Proud on you Mama
_________________________

Daaah
 
Umeongea kweli tu,

naunga mkono 100%

Watanzania hawampendi huyu mama.
Huyu mama anapendwa kinafiki na wana CCM wachache tu ambao ni wachumia tumbo.
Magufuli alikuwa hapendwi na Watanzania ila huyu mama katia fora
 
Utopolo huo
Kwani huyu si ndiyo mwanamke wa kwanza kuongoza Tanzania!

Accident president of Tanzania!
Soon ataanza kujifunza kwa rais wa Zambia anayejua thamani ya pesa
 
Tena kutoka pemba, its a pleasure kwa kweli
 
Mungu ambariki Sana mama yetu. Hakika Tanzania itapaa Sana kidiplomasia kwa juhudi hizi za Mh. RAISI Samia Suluhu Hassan
 
Angalau tunaye rais wa kutuwakilisha. Mwanamke pekee Afrika ambaye ni rais na kwa jinsi hiyo ataifanya Tanzania ijulikane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…