CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 4,984
- 4,083
Sasa Kabudi na ile mijicho yake kamaWazungu walizoea kumwona Kabudi watashangaa sana
Wazungu walikuwa wanamgwaya 😛😛Sasa Kabudi na ile mijicho yake kama
kabanwa na mlango.
fact ajitahidi kupata wawekezaji serious hata watano tu,mtembea bure sio mkaa bure,
Tunataka wawekezaji tu
Mungu amuongoze mama yetu, Naamini tutakuwa vizuri tuTanzania itaishia tens kwenye ramani ya dunia,Kama enzi za Mwalimu Nyerere.nchi yetu ilifahamika na kuwa na marafiki wengi Sana duniani.