Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Sio kila kitu kupinga pinga tu - wewe ulitakaje? Ulitaka madaktari wahitishe press conference wazungumzie masuala ya maabukizi ya virus Nchini wakiwa na lengo la ku pre empty kauli ya Serikali ambayo ndio mwajili wao - nchi haendeshwi kihuni kama mnavyo taka. Labda ni kuhoji swali dogo kama unafikiri maambukizi ya corona ni mengi sana nchini, ebu twambie umekwisha shuhudia misiba mingapi ya Corona katika mitaa unayo ishi, tuanzie hapo kabla hatuja jadiri horror stories zenu.
Unataka ushuhuda zaidi....
Swali kwa nn nyie mbwa hampimi?
Hizi ni taarifa za Jana tu ww mfia buku 7