Tanga kuchere,ameishaijua wizara nyeti nchini ,Sasa anasogezwa kuanza kuzijua Kuta tawala za kimataifa ,nchi hii ngumu
 
'Msoga' wanamkuza ili aje awe mgombea 2030!
Hivi kwa akili gani alizo nazo hadi aongoze Taifa?
Kwanini tunafanya majaribio ya watu ambao akili ni finyu na ndogo?
Kwanza kwenye maadili sio mzuri kabisa!
'Msoga' umetukosea sana Tz tunaomba sasa achana na haya mambo!
Huyo anaandaliwa kuja kuwa mkali kama Magufuli
 
Kwa akili yako ameshushwa au amepandishwa! Naamini nafasi aliyopewa ni kubwa zaidi, na anafaa, kwenye nishati alifiti pia, acha wivu!
 
Back
Top Bottom