Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

mpaka unatakiwa kupita katikati ya ziwa, kwa sababu hata msumbiji mpaka upo katikati, ila ukija kaskazini malawi wanasema tz isiwe katikati. hoja yao kuu ni kwamba, kulishawahi kuwa na mkataba wa kikoloni, na hoja nyingine ni kwamba Tanzania ina maziwa mengi nje ya nyasa.
Visiwa Zbar vinatakiwa Zoom ili Kzmkz ionekane dunianiii.....hiyo ndio sbb kuuu kuchoraaa mengine gereshaaa
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza.

Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu vingi vikibadilika.

"Hii tukimaliza, itatuwezesha kuchora ramani mpya ya Tanzania, ramani ya mwisho ya Tanzania, ilichorwa mwaka 1978, kwa kiasi kikubwa kuna mabadiliko makubwa hata ukichua tu, Jiji la Dar es Salaam, la mwaka 1978 na leo tofauti, mfumo huu utatuwezesha kutengeneza mipango ya kidijitali," amesema Rais Samia.

Katiba mpya aaaah ,wizi tu 🤣🤣
 
Hamna lolote hapo zaidi ya kutaka Kizimkazi nayo ionekane kwenye ramani basi
 
Mbn nchi hii Iko hivi nakumbuka ni zaidi ya 5/7 yrs nmkutana na Hawa watu ! Leo hii tuanze tena?
Kwamba Ile iliyokuwa ikichorwa (mchakato uliingiliwa au mwenye data alisepa nazo)
Hii ss inazidi it's like mikopo ya sgr
 
Anuani za makazi zimezikwa rasmi watu wapige pesa nyingine
Kweli kila shughuli ni pesa.
Sasa kama nia ya dhati ipo , wapime miji yote kuondoa makazi(makazi holela yasiyo kuwa na barabara yasiyozingatia utaratibu wa mipango miji).

Kabla ya kuongeza maeneo mapya ya utawala kwa nini upimaji haufanyiki?!
 
Sawa itaonyesha mikoa na wilaya zilizoongezeka. Lakini gharama za uchoraji sasa billion ngapi? 🤔🤔🤔
 
Tenaa Mungu wee tunusuru

Back
Top Bottom