Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza.

Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu vingi vikibadilika.

"Hii tukimaliza, itatuwezesha kuchora ramani mpya ya Tanzania, ramani ya mwisho ya Tanzania, ilichorwa mwaka 1978, kwa kiasi kikubwa kuna mabadiliko makubwa hata ukichua tu, Jiji la Dar es Salaam, la mwaka 1978 na leo tofauti, mfumo huu utatuwezesha kutengeneza mipango ya kidijitali," amesema Rais Samia.

katika hiyo ramani waweke na mpaka wa tanganyika na zanzibar tujue nchi ya zanzibar inaishia wapi
 
Back
Top Bottom