ramani ya tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu hata angevaa ramani ya Tanzania hamshawishi mtu kuwa rais Tanzania

    Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa. Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu. Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe? Nawasilisha baba yenu.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania kuchora ramani yake mpya

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza. Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70 Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu...
Back
Top Bottom