mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,835
- 799
Uzuri kuwa wametaka wenyewe kuliwa kwa hiyo tuwaache wacharazwe kweli kweli, wajinga ndio waliwao tone tone hoyeee.Usijali, nyie huko unyumbuni si mnaongozwa na lissu na heche....basi jifarijini nao huku mkitupia tone tone za hapa na pale.