Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,016
- 1,732
Maji yamekorogeka!Mlimuona Ndugai na Makamu wake? Ndugai lazima aone aibu na utani wake wa kijinga kuhusu simba na yanga ndani ya bunge!!
Ukitaka kujua Power ya JPM, fanya jaribu moja tu, utapata jibu.
Jambo lenyewe ni hili:
Chukua picha ya JEMBE(JPM), halafu muweke mtu mwingine yeyote pembeni ya picha ya JPM.
Alika watu wapige kura kuchagua ama picha ya JPM au huyo mtu mwingine. Zoezi hilo lifanyike mchana kutwa. Kisha hesabia kura za kila mmoja. Hapo ndipo utajua JPM ni nani.
Labda walitaka aseme yeye ni kitu kimoja na Lissu kwa sababu alienda kumuona hospitali.Watanzania ni watu wa ajabu kabisa sijui aliyewaroga nani sasa ulitaka aseme yeye ni kitu kimoja na Mbowe?
Maana yake chupa mpya mvinyo uleuleMheshimiwa mama Samia ana nafasi kubwa ya kurekebisha yote mabaya yaliyofanywa katika uongozi wa Magufuli, ila anakosea kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Mheshimiwa Mbowe ameandika vizuri kwamba, “...kivuli cha Magufuli bado kinamtesa mama Samia...”. Je mama Samia atawezaje kurekebisha makosa ya utawala uliopita ilhali yeye ni kitu kimoja na utawala uliopita? Maneno haya yanamfunga mama Samia kiutendaji.
Kukatisha mkataba ni hasara zaidi kuliko kuendeleaMama amenifurahisha sana aliposema mradi wa daraja la busisi utaendelea kama kawaida