Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

1-Group-Chairman-and-CEO--Sultan-Ahmed-Bin-Sulayem2x.png

Karibu Akhui
 
Unaagiza gari linayofolewa tachograph mara linayofolewa electronics.

Dp World watakomesha wezi Bandarini.
 
Live:Akifungua na kushiriki kuhamasisha ufisadi kwenye nchi🐒🐒🐒
 
Huyu anayetoa hotuba amemwambia mama bandari haitoshi, uza na reli kabisa hahahahahaha, wakampigia na makofi.
 
Yeye amewahi kufanya biashara? Au nikuajiriwa serikalini na kula Kodi tuu mwanzo mwisho!!!
Nchi ya kijinga niile inashindwa kuendesha mambo muhimu inakimbilia usaidizi toka nje;
KUSHINDWA KUENDESHA BANDARI,TANESCO,USAFIRI ANGA,TRENI,MAJI MAANA YAKE HUWEZI KUIONGOZA NCHI...HIVYO SERIKALI NAYO IBINAFSISHWE TUU!!!
Huyo mwarabu akajenge bandari nyingine bagamoyo huko lkn ya Dar ibaki mikononi mwa serikali
 
Nimewaza kavip ikulu ikodishwe pia au mnaoneje gleti thinka? WARABU wataifanya ifanane na ya dubayi jameni ikulu haina hata MAJI yakuruka???
 
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023.


Anajifanya yupo busy na yanga kutafuta popularity tunamchora tu cjui alijichagua kwajil ya yanga. Sasa nasema Must go
Samia had 2040, wagalatia hatuwapi tena nchi wauaji
 
Back
Top Bottom