Ukweli ndio utakaowaweka kuwa huru ,utafuteni.

Mungu hafi. Mungu hajiombei dua. Mungu hajibishani kimwenyewe mwenyewe. mengi tu inahitaji mjifunze ili muwe huru, Tuseme Mungu alikuwemo ndani ya yesu lakini Yesu sio Mungu ,hapo panahitaji ufahamu sio uvamizi.

hebu kasomeni Yohana kumi na inne muifahamu kwa kina.

1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali.
3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
4 Nami niendako mwaijua njia.
5 Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia?
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
8 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
9 Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
10 Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
11 Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.
12 Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;
17 ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.
18 Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.
19 Bado kitambo kidogo na ulimwengu haunioni tena; bali ninyi mnaniona. Na kwa sababu mimi ni hai, ninyi nanyi mtakuwa hai.
20 Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.
21 Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.
22 Yuda (siye Iskariote), akamwambia, Bwana, imekuwaje ya kwamba wataka kujidhihirisha kwetu, wala si kwa ulimwengu?
23 Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake.
24 Mtu asiyenipenda, yeye hayashiki maneno yangu; nalo neno mnalolisikia silo langu, ila ni lake Baba aliyenipeleka.
25 Hayo ndiyo niliyowaambia wakati nilipokuwa nikikaa kwenu.
26 Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.
28 Mlisikia ya kwamba mimi naliwaambia, Naenda zangu, tena naja kwenu. Kama mngalinipenda, mngalifurahi kwa sababu naenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.
29 Na sasa nimewaambia kabla halijatokea, kusudi litakapotokea mpate kuamini.
30 Mimi sitasema nanyi maneno mengi tena, kwa maana yuaja mkuu wa ulimwengu huu, wala hana kitu kwangu.
31 Lakini ulimwengu ujue ya kuwa nampenda Baba; na kama vile Baba alivyoniamuru; ndivyo nifanyavyo. Ondokeni, twendeni zetu.
Hujui maandiko wewe, endelea na magazeti ya Shigongo!
 
===
Mimi ni mkristu naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu, Yesu kristu na Roho Mtakatifu kwani ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika,

Hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando wakati akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video)

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu akiwemo Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Membe,Mbowe na wengine wengi lakina hawajawahi kupata Urais hata wa TFF ila Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye, huyu Mtu ni nani?

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamtii?

|[Mungu wa Elia Tanzania tunaomba mvua yenye neema]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.
Watanzania Hamkawii kusahau MUNGU HADHIHAKII Mlisema MAGUFULI AMEFANYA MAMBO MAKUBWA AMBAYO HATA YESU HAKUWAHI KUYAFANYA Lakini Ukubwa wa MUNGU ukawaonyesha YUKO WAPI LEO MAGUFULI? Kesha OZA
 
Watanzania Hamkawii kusahau MUNGU HADHIHAKII Mlisema MAGUFULI AMEFANYA MAMBO MAKUBWA AMBAYO HATA YESU HAKUWAHI KUYAFANYA Lakini Ukubwa wa MUNGU ukawaonyesha YUKO WAPI LEO MAGUFULI? Kesha OZA
Mbingu kumsikia Mtu ni kumkosea Mungu? Au kumsifu?
 
===
Mimi ni mkristu naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu, Yesu kristu na Roho Mtakatifu kwani ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika,

Hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando wakati akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video)

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu akiwemo Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Membe,Mbowe na wengine wengi lakina hawajawahi kupata Urais hata wa TFF ila Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye, huyu Mtu ni nani?

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamtii?

|[Mungu wa Elia Tanzania tunaomba mvua yenye neema]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.

Kwa hiyo mbingu zisipomsikia atakayeumia ni yeye au wewe?
 
===
Mimi ni mkristu naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu, Yesu kristu na Roho Mtakatifu kwani ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika,

Hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando wakati akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video)

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu akiwemo Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Membe,Mbowe na wengine wengi lakina hawajawahi kupata Urais hata wa TFF ila Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye, huyu Mtu ni nani?

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamsikia?

|[Mungu wa Elia& Elisha Tanzania tunaomba mvua yenye neema tunakutukuza wewe peke yako katika Utatu mtakatifu]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.

Rubbish
 
===
Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu,

Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye,

Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika 100%

Mtakumbuka,hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando,

Wakati Mhe Rais akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video)

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu sass akiwemo Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Membe,Mbowe na wengine wengi,

Pamoja na msako huo wa Urais lakini hawajawahi kupata Urais hata wa TFF,

Chaajabu, Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye kirahisi tu,

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamsikia?

|[Mungu wa Elia& Elisha Tanzania tunaomba mvua yenye neema tunakutukuza wewe peke yako katika Utatu mtakatifu]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.

Huyu mama ni mpango wa Mungu, Tukubali tukae
 
Yesu Kristo si Mungu ,hata kwa imani ya wakristu wanaoijua dini yao kiundani kabisa wanalijua hilo.

Halafu wacha kukufulu ni wapi Mbingu na ardhi zilionyesha kumtii Raisi Samia Suluhu Hasani. wewe utakuwa mshilikina tu ,ndio wenye imani hizo za kichawi.
Amesema Mungu baba, Yesu Kristu na Roho Mtakatifu. Wapi amesema Mungu Yesu Kristo? Hata kama anaamini hivyo wewe inakuhusu nini? Kila mtu ana haki ya kuamini atakalo bila kuingiliwa na mtu mwingine. Hakuna anaezuiwa kuamini kuwa Yesu ni Mungu, porini anaishi Mungu, Rama ni Mungu, binadamu mwingine ni Mungu n.k. Kama unaona amekosea kamuombe Mungu wako amfungue macho badala ya kumshambulia humu.

Amandla...
 
Katika nchi yoyote ile kuna wananchi na mapunguani.
Katika nchi masikini, hasa za kiafrika, wananchi ni wachache sana na wanafikiria nchi yao kwa ujumla na vizazi vijavyo ambapo mapunguani ni mengi sana yakishangilia makundi yao ( vyama, dini, makabila) hata katika mambo ya kipuuzi kabisa.
Kwa bahati mbaya sana, baadhi ya viongozi hupenda kuchagua au kuteua mapunguani kwa kuwa wanapenda kusifiwa.
Hata hivyo, urais wa Samia upo pale pale na uhusiano wake na Mungu hautegemei sifa na tafsiri za kijinga.
 
Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu,

Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye,

Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika 100%

Mtakumbuka,hivi majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Hospitali ya Rufaa Bugando,

Wakati Mhe Rais akiendelea na hotuba yake alipofikia hatua ya kusema "Tuombe dua kuiombea mvua inyeshe " dakika zilezile mvua ikaanza kunyesha (angalia video).

Mkumbuke kunawatu wameusaka Urais kwa zaidi ya miongo mitatu sass akiwemo Edward Ngoyayi Lowassa, Dkt. Slaa, Membe,Mbowe na wengine wengi.

Pamoja na msako huo wa Urais lakini hawajawahi kupata Urais hata wa TFF.

Chaajabu, Samia Suluhu Hassan hajawahi kuomba Urais popote lakini Mungu wa Mbinguni akamchagua yeye kirahisi tu,

Swali: Rais Samia Suluhu ni nani hata Mbingu na nchi zinamsikia?

|[Mungu wa Elia& Elisha Tanzania tunaomba mvua yenye neema tunakutukuza wewe peke yako katika Utatu mtakatifu]|

#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.

nilitaka nikuite mpumbavu ila nikasita
Asilimia 90 ya hii nchi bado jua ni kali sana
 
#SISI NI NANI HATA TUSIKUUNGE MKONO.
#WEWE NI CHAWA LAZIMA UUNGE MKONE NA MIGUU YOTE.
Mda si mrefu mtaupoka uungu wa maiti mnayoabudu , muhamishie kwa Hangaya, tunawajua nyie CHAWA.
Kwenu mungu ni yeyote yule anaewapa TEUZI.
 
Mkuu salama?
Pamoja Sana mkuu,Kazi zinaendelea kwa Kasi sana.Hapa ni ujenzi wa barabara za lami tunatekeleza ilani hadi Sumbawanga huko👇

IMG_20211118_183258_351.jpg

IMG_20211118_183254_498.jpg

IMG_20211118_183246_835.jpg

IMG_20211118_182930_635.jpg

IMG_20211118_182011_717.jpg

IMG_20211118_180809_564.jpg

IMG_20211118_181749_659.jpg

IMG_20211118_175902_432.jpg

IMG_20211118_180650_944.jpg
 
John 1:1-3
[1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.

[2]The same was in the beginning with God.
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.

[3]All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
Neema na iwe nanyi nyote. Waebrania 13:25
 
Katika nchi yoyote ile kuna wananchi na mapunguani.
Katika nchi masikini, hasa za kiafrika, wananchi ni wachache sana na wanafikiria nchi yao kwa ujumla na vizazi vijavyo ambapo mapunguani ni mengi sana yakishangilia makundi yao ( vyama, dini, makabila) hata katika mambo ya kipuuzi kabisa.
Kwa bahati mbaya sana, baadhi ya viongozi hupenda kuchagua au kuteua mapunguani kwa kuwa wanapenda kusifiwa.
Hata hivyo, urais wa Samia upo pale pale na uhusiano wake na Mungu hautegemei sifa na tafsiri za kijinga.
Usivurunde tunachoamini pamoja ,au hilo pia mtihani ?
 
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. (Tiyari ushaweka Mungu wawili).
jaribu kuifahamu lugha ndugu yangu mlokole, niseme tu Nyamagondo alikuwepo kwa askari,Nyamagondo nae ni askari (Askari wangapi hao?)
1 Corinthians 2:14-15
[14]But the natural man receiveth not the things of the Spirit of God: for they are foolishness unto him: neither can he know them, because they are spiritually discerned.
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
[15]But he that is spiritual judgeth all things, yet he himself is judged of no man.
Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom