Hata Yesu alipingwa sn mpk watu wakapanga kumuuaNdiyo hapo inatakiwa ujiulize, how terrible is her regime? Kwanini ukweli mchungu wa kumsema Samia unapata support kubwa?

Ok. Lkn ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi MkuuHuyo kahaba hasafishiki hadi ungemtia kwenye bwawa lililo mwagwa OMO zilizobebwa ma meli kumi..
Mimi nilichojifunza watanzania wengi ni wapumbavu na wafuata mkumbo.Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Kwa hiyo wakati Magu anapiga pin madaraja kupanda hakukuwa na hizo sheria?Kwahiyo watu kupanda madaraja ni hisani siku hizi na sio kwa mujibu wa sheria mtu apatapo sifa stahiki ?
Kwahiyo mauaji kwako ni jambo jema sababu kuna watu wanapanda madaraja ?
Hiki ulichosema ni kweli, lakini kitendo cha kutoheshimu demokrasia na haki ndio kimetufikisha hapo. Unaingia madarakani kwa kupora madaraka, kisha unataka watu waone mazuri yako, hilo halipo na halitakuwepo.Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Hili hatutakaa tusahau, na mwambie Samia kwenye hili atajibu yeye na walioshiriki kufanya mauaji haya ili wabaki madarakani. Kama mnaamini haya mauaji yatapita na kusahaulika mnajidanyanya wenyewe.Zilipendwa.
Si kila siku tunawashangaa wanaomsifia Magufuli humu? Ni mara ngapi watu wanajitokeza kumsifia Magufuli humu, lakini tunajitokeza na kuweka record sawa kuwa Magufuli hakuwa kiongozi bora bali mlevi wa madaraka?Kwa hiyo wakati Magu anapiga pin madaraja kupanda hakukuwa na hizo sheria?
Kama sheria zilikuwepo kwanin mliufyata huo mkia wenu?
Kipimo ilikuwa ni uchaguzi mkuu, voters turn ilidhibirisha kuwa Samia hakubaliki. Na sio yeye tu, hata wakati wa Magufuli voters turn ilikataa huko kukubalika kwa Magufuli.Kumbe kipimo ni hapa jf!!
Weka chuki pembeni utayaona mazuri ya MagufuliSi kila siku tunawashangaa wanaomsifia Magufuli humu? Ni mara ngapi watu wanajitokeza kumsifia Magufuli humu, lakini tunajitokeza na kuweka record sawa kuwa Magufuli hakuwa kiongozi bora bali mlevi wa madaraka?
baz kaiza
Magufuli hakuwa malaika! Yapo mazuri mengi aliyoyafanya, kadhalika alikuwa na mapungufu yake pia. Tukitaka kumtendea haki, tunapomsema, tusiseme mapungufu yake tu, that is bias! Tumseme na kwa mazuri yake pia.Si kila siku tunawashangaa wanaomsifia Magufuli humu? Ni mara ngapi watu wanajitokeza kumsifia Magufuli humu, lakini tunajitokeza na kuweka record sawa kuwa Magufuli hakuwa kiongozi bora bali mlevi wa madaraka?
baz kaiza
Sina sababu ya kumpenda, kwako ni mazuri kwangu ni kutekeleza majukumu yake maana alikuwa analipwa mshahara kufanya hivyo na sio hisani. Ninamzungumza Magufuli alivyokuwa na sio mazuri yake.Weka chuki pembeni utayaona mazuri ya Magufuli
Mimi simzumgumzi negatively au positively, bali namzunguza alivyokuwa. Alikuwa mchapa kazi, na mlevi wa madaraka. Hivyo ndio alivyokuwa.Magufuli hakuwa malaika! Yapo mazuri mengi aliyoyafanya, kadhalika alikuwa na mapungufu yake pia. Tukitaka kumtendea haki, tunapomsema, tusiseme mapungufu yake tu, that is bias! Tumseme na kwa mazuri yake pia.
MWENYE MAMLAKA YA ULIMWENGU HUU AKUREHEMU.Zilipendwa.
ACHA kumfananisha YESU na vitu vya kijingaHata Yesu alipingwa sn mpk watu wakapanga kumuua
Ili kuweza kuona uzuri ndani ya lundo la ubaya uchawa unahitajika. Macho ya mtu ambaye siyo chawa hayaoni miti, yanaona pori. This is a big picture issue!Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Mantiki ya “mazuri na mabaya” au “mema na mapungufu” haifanyi kazi kila mahali au kwa kila kitu au kwa kila jambo.Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.
Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.
Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.
Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?
Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.
Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.
Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Yesu alipingwa na utawala King Herod Antipas, hapa Samia ndiye mtawala(ndiyo TZ modern era 'King Herod Antipas).Hata Yesu alipingwa sn mpk watu wakapanga kumuua
Bingo, mtu anafanya kazi na analipwa lakini eti asifiwe na apambwe kwa kufanya kazi ambazo sadly hazifanyi kwa uadilifu, uaminifu wala hazifanyi kwa ukamilifu.Sina sababu ya kumpenda, kwako ni mazuri kwangu ni kutekeleza majukumu yake maana alikuwa analipwa mshahara kufanya hivyo na sio hisani. Ninamzungumza Magufuli alivyokuwa na sio mazuri yake.
Hii itakuwa AI ya kichina, tumia. AI yaujerumani au USA Ili picha ikae vizuri zaidi.