Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
 
Mtu kaua, kaiba Hela za umma, ameteka watu, u amteteaje? Samia lazima ajitenge na uchafu wa aliyepita, Rais ni kielelezo Cha usafi.

Yeye mbona aliwatukana Mkapa na Jk
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
downloadfile-4(1).jpg
 
Kwa taarifa yako Samia ndio anamtuma Zitto amtukane Magufuli ili kuficha madhaifu yake!

Jiulize kila kitu kimepanda bei ila hakuna anaesema, ila wamekomaa na marehemu tu
Jiwe alitesa sana watu na alikuwa muuaji na mwizi. Ndiyo maana anachukiwa na wengi
 
Ni kweli Samia must step in.
Aliyeasisi siasa za kijima na majitaka za kujijengea umaarufu kwa kuwadhalilisha watangulizi wake ni huyo huyo Magufuli. SSH angekuwa mwanasiasa mzoefu aliyefika hapo kwa juhudi zake mwenyewe angekuwa ameshajitenga ni hiyo legacy haraka zaidi na kwa uwazi zaidi. Mwaka 2015 Magufuli aliendesha kampeni ya urais kama mgombea binafsi; kwa kujitenga na ccm. Alipochaguliwa nchi ikawa mali yake binafsi, akaongoza kama familia yake nyumbani. Akawadhalilisha watumishi wa umma, wanasiasa wa upinzani na hatimaye akaanza kuwabagaza marais wastaafu; mpaka hata Nyerere! Laana ya kumbagaza Nyerere itamuacha mtu salama kweli? Huyu huyu Nyerere ambaye kuna watu wanatamani atangazwe utakatifu! Kukawa hakuna serikali bali kuna rais tu ingawa yeye mwenyewe alijaribu kutuaminisha kuwa ilikuwepo lakini siyo ya ccm bali ya Magufuli. Mzee Mkapa akakemea lakini akashupaza shingo! Nchi ikawa kama imepata uhuru jana yake baada ya yeye kuchaguliwa! Hivyo wazee wetu waliopigania uhuru; akina Nyerere, Karume, Kawawa, Jumbe, Jamal, Mbowe, Swai, Bibi Titi, Lucy Lameck, Rupia, Kombo, Bomani, nk hawakufanya chochote cha maana! Akataka kufuta historia hiyo na badala iandikwe mpya itakayomkumtukuza yeye na kufundushwa wajukuu zetu! Badala ya kufanya mapitio ya sera na mikataba ya madini akatumia kama silaha ya kujijenga kisiasa na kuwabagaza walitangulizi wake. Bila kuzingatia jinsi sera ya madini ilivyobuniwa kwa umakini hapo mwanzo ili kuvutia wawekezaji yeye akaitumia repoti ya makinikia kuutangazia umma mubashara kuwa nchi ilichezewa sana. Hatutasahau jinsi watu na viongozi wetu wa dini walivyopelekwa Ikulu kusomewa ripoti ya makinikia ambayo kwa hali ya kawaida ingekuwa siri ya serikali. Lakini mwisho wa siku Mungu akasema imetosha!
 
Tanzania kuna Machawa yanazidi kunenepa kila siku, yanafanya kile ambacho kiongozi wa juu anapenda (hii iliota mizizi kipindi cha JPM) kwahio mengi yanayofanyika yana baraka au wanaofanya wanajua wanamfurahisha huyo unayesema atetee
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
Mengi mema aliyoyafanya yatamsimamia na kumtetea. Kumbuka utetezi unaousema ni ule wa hiyari hivyo anaweza asimtetee pia.

Utetezi halali kabisa na wale aliyoyaacha kwa faida ya watanzania, uzalendo wake ndio utetezi wake halali kabisa.

Hakuna cha utetezi unaohitajika kila mtu anayaona maghorofa ya magomeni. Hakuna utetezi wowote wa kuongea kila mtu analitumia daraja la salendar la Tanzanite.

Kila mtu anapanda ndege kwani shirika la ATCL limefufuliwa upya huo ndio utetezi utakaomtetea RIP JPM huu wa Samia ni hiyari hivyo unaweza hata usiwe unatoka moyoni.
 
Zitto ameshawaambia nyie ‘zilipendwa’ wa mwanakwendazake, kazikwe pembeni ya kaburi lake kama unampenda sana!
Pia: sisi keaboard worriors tulimpinga nyuma ya keaboard mpaka akatamani awe malaika azime mitandao!! Akamwiishitaki Melo, lakini wapi!!
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
Anzisheni Tena kundi la wasiojulikana.
 
Mama tena?? Huyo si ndo ringleader!
 
Bunge la wakati wa Mkapa halikuwa na mbilinge kama la kipindi cha Mh: J PM na and no one claimed to be shot dead or injured following political activities na kipindi cha Mr clean the use of social media haikuwa kubwa nowadays unaongoza vast country kama hii under so big pressure all in all JPM alijitahid despite na dosari hizo.
Alijitahidi nini..
Kuna mtu alibagazwa kwenye mitandao na bungeni kama JK?
 
Back
Top Bottom