Hivi nyinyi jeshi la polisi kwa nini hamuwakamati watu wanao mtukana hayati JPM?
Mmewezaji kuwakamata wahuni hawa JPM akiwa hai mshindwe sasa?
Matusi na dhihaka vimezidi kwa hayati Magufuli.Huu si utamaduni wa Waafrika kuwatukana wafu, JPM amefanya mengi kwa TAIFA hili.
Ni upumbavu uliopitiliza kusema vibaya maiti.
Sheria ichukue mkondo wake, mtu kama Zitto akomeshwe ujinga wake wa kumsema vibaya Magufuli, leo Magufuli kesho hata rais Samia Hassani akifa naye atadhalilishwa iwapo tabia hii isipokomeshwa.