Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,854
- 128,915
No body cares if it's going to work or not.Well, wait and see how it plays out. Please tag me if it works for her.
No body cares if it's going to work or not.Well, wait and see how it plays out. Please tag me if it works for her.
AMENSamia atetee mtu aliyefanya udhalimu wa kiwango kile. Mnataka watu wakae kimya, tokeni hadharani muombe msamaha kwa utawala ule wa kinyama, na hilo bunge haramu livunjwe kuwe na serikali ya mpito, kuelekea tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kinyume na hapo mkae kwa kutulia wakati udhalimu wake unaanikwa hadharani. Mazuri hata wakoloni walifanya, lakini tuliwakataa na kuendelea kuwalaani.
Pole ndugu alikuwa mzigo mzito kwa TAIFA. Kama ulikwa mmoja wa waliokuwa wanakula mezani kwake nawe wahi umfuateNimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.
Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .
Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.

Mkapa alikuwa na madhaifu yake ikiwemo kufanya biashara akiwa Ikulu kwa kununua Mgodi wa Kiwira kwa bei ya nyanya. Lakini Kikwete alisimama Bungeni na kuwaomba Watanzania wamsamehe na wamwache apumzike na hakuna aliyebaki na Nongwa. Magufuli alipoingia madarakani alikumbana na kashfa ya Kivuko (MV Dar es salaam) na ili kupoza watu akabadilisha na kuifanya kuwa Meli ya Kivita na Watanzania wakanyamaza. Lakini alipoanza kugusa Uhai wa Watu isingewezekana kusameheka. Uhai hauna fidia.Kwanini Mkapa hatukanwi au Mkapa alikuwa mwema sn hakuna na mapungufu? anzia hapo
Kuna watu mikund.u kweliVile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2191911
So is just for the sake of trash talking?!No body cares if it's going to work or not.
Na ben saanane atetewe na nani? Waliokotwa pwani mabwepande kwenye magunia? Prof assad??Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.