Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,387
- 100,502
Wasukuma buana, infiriority complex itawatesa SanaaNimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.
Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .
Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.