Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

Rais Samia, mtetee Magufuli kwani anadhulumiwa

Hivi nyinyi jeshi la polisi kwa nini hamuwakamati watu wanao mtukana hayati JPM?

Mmewezaji kuwakamata wahuni hawa JPM akiwa hai mshindwe sasa?

Matusi na dhihaka vimezidi kwa hayati Magufuli.Huu si utamaduni wa Waafrika kuwatukana wafu, JPM amefanya mengi kwa TAIFA hili.

Ni upumbavu uliopitiliza kusema vibaya maiti.

Sheria ichukue mkondo wake, mtu kama Zitto akomeshwe ujinga wake wa kumsema vibaya Magufuli, leo Magufuli kesho hata rais Samia Hassani akifa naye atadhalilishwa iwapo tabia hii isipokomeshwa.
Yako kwenye system ya awamu hii ya uongozi, yananufaika na madili ya njia fupi kunenepesha matumbo yao.

Ndiyomaana husikii tena kelele za kigogo2014 zikizagaa mitaani, sana sana ukimkosoa tu Mama tayari yameshajazana kumtetea lakini ukimponda mwamba JPM tayari mimacho yao yote kodo [emoji13]
 
Kwa taarifa yako Samia ndio anamtuma Zitto amtukane Magufuli ili kuficha madhaifu yake!

Jiulize kila kitu kimepanda bei ila hakuna anaesema, ila wamekomaa na marehemu tu
 
Binafsi sina shaka kwamba legacy itashindwa kujinasibu na kukaa kando ikijitetea. JPM aliifanyia nchi hii mambo makubwa sana, hivi kwamba wapinzani wake hawawezi kuyafikia, na kilichobaki ili kuficha aibu hiyo ya kushindwa kutekeleza wajibu wao kiuongozi, wanajificha kwenye kivuli cha demokrasia kana kwamba wenyewe wanafuata hiyo demokrasia.
Upinzani upi huo nakati ni ndumilakuwili tu hao wanaokula kote kote [emoji28]
 
Yeye JPM mwenyewe alikuwa anategemea kura kukaa madarakani? Juzi hapo kulikuwa na uchaguzi wa ccm na kamuweka Kinana aliyembagaza Magufuli, mbona hamkumnyima kura?
Tulia wewe

Hapo CCM hakukua na uchaguzi.

2025... Itabidi mkisimama jukwaani mtuambie. Why?

Week Mbili mmenyamaza tu na mzalendo wetu mkifanya yenu.

Sasa mwaka mzima .mmnapambana nae..hadi 2025 tunawahakikishia mtamtaja tu.
 
Kuna syndicate maalumu imetengenezwa na wale wahuni kumtukana magufuli, na kama ni wanaume kweli mbona walificha mikia yao wakati akiwa hai...
Ameyataka mwenyewe kwani angekubali kukosolewa nani angehangaika naye leo?
Sasa ilikuwa ukimkosoa kama ukinusurika kuuawa,utatafutiwa kesi isiyo na dhamana.
Watu hawakumuogopa yeye kama Magufuli waliogopa matumizi yake mabaya ya madaraka.
Ninaamini angejaliwa kumaliza kipindi chake bado wangemkosoa tu na wengine kutukana Kama kufidia kipindi walichokosa hiyo nafasi.
Funzo hapa,ni kuruhusu watu waseme tu kwani hawatabadilisha chochote,utabakia na uRais wako na mwisho ukiondoka utaheshimiwa.
 
Yeye JPM mwenyewe alikuwa anategemea kura kukaa madarakani? Juzi hapo kulikuwa na uchaguzi wa ccm na kamuweka Kinana aliyembagaza Magufuli, mbona hamkumnyima kura?
Tulia wewe

Hapo CCM hakukua na uchaguzi.

2025... Itabidi mkisimama jukwaani mtuambie. Why?

Week Mbili mmentamaza tu na mzalendo wetu mkifanya yenu.

Sasa mwaka mzima .mmnapambana nae..hadi 2025 tunawahakikishia mtamtaja
 
Baada ya Magu kufariki wahuni sasa wanasimika mitandao yao ya kiwizi wizi.......
 
Tulia wewe

Hapo CCM hakukua na uchaguzi.

2025... Itabidi mkisimama jukwaani mtuambie. Why?

Week Mbili mmentamaza tu na mzalendo wetu mkifanya yenu.

Sasa mwaka mzima .mmnapambana nae..hadi 2025 tunawahakikishia mtamtaja

Una uhakika gani hiyo 2025 kutakuwa na uchaguzi?
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
Si bora yeye anatukanwa hayupo,JK na Samia wanatukanwa na wanashuhudia..

Ila mkuu tofautisha kukosolewa na kutukanwa.

Mwendazake alikataa watu wasimkosoe akatumia chuma so kwa sasa acha watu wateme nyingi zikiisha watapotezea wenyewe.
 
Hakuna mstaafu ambaye hajasemwa, sema ukweli wa safari hii unaumiza maana alipokuwa hai aligoma kukosolewa, hivyo hapa tatizo ni kutokuzoea yeye kusemwa alipokuwa hai.
... na hata akiwa mfu vitambakwira wake wanakataza asisemwe kwa lolote! Lau angeajiandalia kitabu kilicho chema yote haya yasingalitokea.
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini sana juu ya yanayoendelea katika nchi yetu, magufuli anatukanwa sana mitandaoni na watu wanaojiita wazalendo na wapenda demokrasia.

Hatutakubali kuona magufuli akitukanwa, ofcourse kuna madhaifu kama kiongozi alikuwa nayo but ana mazuri mengi mno .

Tafadhali Mama Samia mtetee magufuli, zitto aache unafiki hajawahi kuwa mwema kiasi hicho katika nchi hii.
Yeye hakutukana wengine kama jk ulikubali natulikubali sasa kama sisi wavuvi hatumpendi hatakama amekufa ametutia hasara kwa tamaa zake mungu amuweke alipopatafuta kwa akilizake hivi unajuwa ninyumba ngapi zenye watu kibaokuliko yeye mmoja ambazo maisha niyashida? Kwakuchomewa nyavu halali zikiwa naleseni kwaajili yakudhulumu pesa kwa kutishia watu iliwatoe pesa sijui hata wewe hujitambui?
 
Kuna syndicate maalumu imetengenezwa na wale wahuni kumtukana magufuli, na kama ni wanaume kweli mbona walificha mikia yao wakati akiwa hai...
Kipindi cha mwendakuzimu ilikuwa ukimsema vibaya anakuua, ref Mh. Lissu
 
Sasa umesema haukubali atukanwe nikajua una mabavu ya kuwashughulikia kumbe boya tu anatafuta msaada kwa Samia.

Kumbuka naye alikuwa anawadhalilisha watangulizi wake, lakini pia nadhani ulisikia pia dongo la mama kwa mwenda zake.

Back
Top Bottom