Rais Samia mpandishe cheo na umteue Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa CDF mara baada ya Mabeyo kustaafu

Achana nao hao ndugu yangu. Wengi wanaokota okota hoja mitaani na kuzileta huku. Wakati wa msiba wa JPM walisema ni amri kutoka msoga ndio iliyomuweka mama pale. Leo hii wanageuza kuwa sio msoga aliemuweka bali ni CDF. Sasa kwa haraka haraka utaona fika kuwa jamaa huandika chochote hata vile ambavyo hawana uhakika navyo. Ina maana hawajui hata katiba inasemaje kuhusu swala hili.
naomba tupingane kidogo hapo chief... Katiba ndio imemuweka Mama pale alipo.... Kazi ya Mabeyo na vijana ni kuilinda na kutetea katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania..
 
Hujuhi kitu boss.
kulikuwa na msuguano mkali kati ya.
Prof Juma na Mabeyo.
Kwahiyo leo hii mmegeuza, sio msoga tena wala katiba iliyomuweka mama pale, bali ni mabeyo! Tanzania limegeuzwa Taifa la hovyo na wanasiasa fulan ambao wanawatumia vijana wasio na upeo kama daraja la kuvukia ili kufikia malengo yao ya kisiasa. Ni aibu sana.
 
Habari za Msoga hazinihusu na ni za kwako.
na sijawahi kuzungumza popote hiyo Habari.

wewe elewa tu.
kulikuwa na msuguano mkali kati ya
Prof Juma na Mabeyo.
 
Habari za Msoga hazinihusu na ni za kwako.
na sijawahi kuzungumza popote hiyo Habari.

wewe elewa tu.
kulikuwa na msuguano mkali kati ya
Prof Juma na Mabeyo.
Kijana hiki sio kijiwe cha chadema ambapo mwenyekiti anaweza kuja asubuhi kulazimisha apewe akili za misukule yake atembee nazo mfukoni kwake ili iwe rahisi kuwa control ki akili na ki mwili. Weka ushahidi na fact za kueleweka ili watu wakuelewe. Sio uje na propaganda ulizomezeshwa na mwenyekiti wako baada ya yeye kufanikiwa kuondoka na akili zako.
 
Jambo Afande!!

Kwa muda mchache aliokaa jeshi la Magereza kama Mkuu wa Jeshi hilo, tumeona uchapakazi wake uliotukuka.

Kwasasa jeshi la magereza linaendeshwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna urasimu uliokuwepo awali kama ule wa uniform pia kuna kuheshimiana baina ya maofisa na maaskari sio kama zamani!

Basi kwakuwa Meja Jenerali Mzee amechapa kazi vizuri huko Magereza na ni mpambanaji na sio mkaa ofisini, ikikupendeza tunaomba umlete tena JW na safari hii akirudi kama CDF ili pia kuendeleza mazuribya afande Mabeyo ambaye anakaribia kustaafu.

Viva Tanzania
Viva JWTZ
Acha upuuzi kutaka kuanza kulifanya jeshi kuwa la kisiasa ! Unachofanya ni kupiga kampeini za kisiasa juu ya uteuzi wa CDF, na unakuwa unamtia doa huyo unayempigia kampeini hiyo. CDF hateuliwi kisiasa kama unavyodhani; kuna input nyingi zinazomfikia rais kabla ya yeye kuamua amchague nani. Huwa anapata majina matatu ya watu walio qualified pamoja na dossier zao; anapozipitia dossier hizo huwa anaangalia uwezo wa kuongoza jeshi wakati wa conflict, siyo uwezo wa kuongoza magereza.
 
Jambo Afande!!

Kwa muda mchache aliokaa jeshi la Magereza kama Mkuu wa Jeshi hilo, tumeona uchapakazi wake uliotukuka.

Kwasasa jeshi la magereza linaendeshwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna urasimu uliokuwepo awali kama ule wa uniform pia kuna kuheshimiana baina ya maofisa na maaskari sio kama zamani!

Basi kwakuwa Meja Jenerali Mzee amechapa kazi vizuri huko Magereza na ni mpambanaji na sio mkaa ofisini, ikikupendeza tunaomba umlete tena JW na safari hii akirudi kama CDF ili pia kuendeleza mazuribya afande Mabeyo ambaye anakaribia kustaafu.

Viva Tanzania
Viva JWTZ
Hivi inawezekana mwanajeshi kuwa IGP ?
 
Back
Top Bottom