Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,751
Rais Samia serikali yake haipendi viongozi wanaotatua matatizo ya wananchi? Kwa nini kila kiongozi active kutatua shida za wananchi na kulinda masilahi ya nchi anatenguliwa alafu wale wasiotatua shida za wananchi wanaachwa wakideka?
Sasa hivi kwenye serikali ya awamu ya 6 ni kama hakuna waziri wa viwanda na biashara, waziri aliyepo hatembelei viwanda wala wafanyabiashara na wakigoma anatoa majibu rahisi sana bila kuhofia masilahi ya nchi!
Waziri wa fedha nae ni shida kubwa ,sasa hivi kwa mfanyabiashara imekuwa shida sana kuagiza bidhaa nje ya nchi sababu ya upungufu wa dola nchini lakini waziri yupo kimyaaa.
Mkuu wa mkoa wa Mara Jenerali Mzee alipokuwa magereza aliwanyoosha wakalima hadi wakaanza kujitegemea wenyewe badala ya kutegemea serikali lakini alipoingia Rais Samia akamtengua na kumpeleka kuwa mkuu wa mkoa Mara ambako alianza kutumbua majibu ya mkoa ikiwemo wizi ,ukeketaji, na uwekaji alama kwenye mipaka ya mbuga ya Serengeti iliyokaa kwa miaka 50 bila kutekelezwa lakini Rais Samia amemtengua!!
Rais Samia unapenda viongozi wasio na impact yoyote kwa jamii na ndiyo maana serikali yako iko mbali na wanachi hasa wale wa kawaida.