Rais Samia mpandishe cheo na umteue Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa CDF mara baada ya Mabeyo kustaafu

Mkuu Rapa Gentamycine , naunga mkono hoja, ila sababu yangu ni ili kuwatendea haki watu wenye majina kama hayo kushika nasafasi ya CDF. Tangu TPDF imeanzishwa, tumekuwa na ma CDF 8. Kati ya hao 8, kumetokea ni CDF mmoja tuu ndio mwenye majina ya kiashiria cha upande huo, huyu ni Generali Abdalah Twalipo. Hii ilipelekea mimi kuuliza swali hili,
Hivyo hakuna ubaya kumpata CDF wa pili wa upande huo, kuonyeshea mtu wa upande wowote anaweza kuwa CDF.
P
Hata wewe na umri wako una akili changa kiasi hiki ?
Siamini kama ni wewe.
 
Kijana hiki sio kijiwe cha chadema ambapo mwenyekiti anaweza kuja asubuhi kulazimisha apewe akili za misukule yake atembee nazo mfukoni kwake ili iwe rahisi kuwa control ki akili na ki mwili. Weka ushahidi na fact za kueleweka ili watu wakuelewe. Sio uje na propaganda ulizomezeshwa na mwenyekiti wako baada ya yeye kufanikiwa kuondoka na akili zako.
Wewe fala chadema inahusikaje kwenye mabishano yako ya kichoko
 
Mkuu Rapa Gentamycine , naunga mkono hoja, ila sababu yangu ni ili kuwatendea haki watu wenye majina kama hayo kushika nasafasi ya CDF. Tangu TPDF imeanzishwa, tumekuwa na ma CDF 8. Kati ya hao 8, kumetokea ni CDF mmoja tuu ndio mwenye majina ya kiashiria cha upande huo, huyu ni Generali Abdalah Twalipo. Hii ilipelekea mimi kuuliza swali hili,
Hivyo hakuna ubaya kumpata CDF wa pili wa upande huo, kuonyeshea mtu wa upande wowote anaweza kuwa CDF.
P
Exactly
 
Jambo Afande!!

Kwa muda mchache aliokaa jeshi la Magereza kama Mkuu wa Jeshi hilo, tumeona uchapakazi wake uliotukuka.

Kwasasa jeshi la magereza linaendeshwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna urasimu uliokuwepo awali kama ule wa uniform pia kuna kuheshimiana baina ya maofisa na maaskari sio kama zamani!

Basi kwakuwa Meja Jenerali Mzee amechapa kazi vizuri huko Magereza na ni mpambanaji na sio mkaa ofisini, ikikupendeza tunaomba umlete tena JW na safari hii akirudi kama CDF ili pia kuendeleza mazuribya afande Mabeyo ambaye anakaribia kustaafu.

Viva Tanzania
Viva JWTZ
Umeshaharibu hata kama alikuwa katika mpango anaondolewa
 
CDF mabeyo,bado anastahili kuendelea kuliongoza jeshi,nashauri hata Kama ataleta barua ya kustaafu mh.rais amuongezee muda aendelee ,maana kwa ss n CDF tu ambae inaonekana anamchango mkubwa ktk kuweka Mambo sawa.lakini pia mleta mada tambua ya kuwa CDF hup3ndekezwa na CDF anayetoka ,rais halijui jeshi Mara nyng CDF hup3ndekezwa na CDF anayestaafu ,rais ni ngumu kujua jeshi linataka liwe na mtu wa namna gani,anayeweza kujua haya ni CDF,na mageneral Basi.
Rais hajui kuhusu jeshi??😂😂
 
Mkuu Rapa Gentamycine , naunga mkono hoja, ila sababu yangu ni ili kuwatendea haki watu wenye majina kama hayo kushika nasafasi ya CDF. Tangu TPDF imeanzishwa, tumekuwa na ma CDF 8. Kati ya hao 8, kumetokea ni CDF mmoja tuu ndio mwenye majina ya kiashiria cha upande huo, huyu ni Generali Abdalah Twalipo. Hii ilipelekea mimi kuuliza swali hili,
Hivyo hakuna ubaya kumpata CDF wa pili wa upande huo, kuonyeshea mtu wa upande wowote anaweza kuwa CDF.
P
Exactly
 
Hao JWTZ wa sasa wanaweza kupigana Vita? isije ikawa kama Ethiopia, tulikuwa tunaambiwa Jeshi la Ethiopia ni la ngapi sijui kwa ubora Afrika lakini kakikundi cha waasi wa Tigray kamewa-prove wrong
 
Nafasi ya CDF sio kuweka mtu tu kwakuwa amefanya vema nafasi alizoshika. INAHITAJI MTU MTULIVU SANA NA ASIYE NA MIHEMKO.

Mzee nafasi zipo zinazomfaa lakini hiyo ya juu ambayo ni ya maamuzi ya mwisho hapana. Ni kama ilivyo kwa Yule aliyeondolewa JKT/Mbuge kwa Mihemko aliyonayo ingetokea JPM kumpa kuwa no 1 au 2 wa JW ingekuwa changamoto.

Hata yule Mwakibolwa aliyekuwa no 2 wazee wa vetting hawakutumia jicho lao vema. Kuna makamanda wakipewa uongozi kwenye uwanja wa Medani wanakuwa wazuri sana kama alivyofanya Mwakibolwa akiwa CONGO. Ni hatari kipindi cha amani kuweka uongozi wenye Mihemko.

Tujikumbushe ni kwanini Nyerere makamanda wengi walioongoza ktk vita ya Kagera hakuwapa nafasi za juu JW.
1. Mayunga
2. Msuya.
3.
4.
5.
Na wachache waliopewa nafasi za no 1&2 basi TISS ilijiridhisha sana
 
M

Mwakibolwa umri ulishamtupa mkono halafu ishu ya Mbuge ni kuwa kulikuwa na malalamiko jeshini jamaa alipandishwa vyeo fasta fastana kuwazidi hata waliotakiwa kuwa wakubwa wake
 
Wewe fala chadema inahusikaje kwenye mabishano yako ya kichoko
Umemjibu vizuri sana. Hakuna waongo Kama hao wa kijani kumbuka tuliambiwa bwawa la Nyerere litaanza kujazwa maji tarehe 15/11/2021 Leo wamekataa haiwezekani sijui crane ya kubeba milango haipo. Sasa hapo wenye kuzungumzia mambo an kwenye vijiwe ni kina Nani!!
 
Back
Top Bottom