Rais Samia kushinda uchaguzi ujao kwa Asilimia 86% kihalali Uchaguzi ujao 2025

Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.

Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.

Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.

Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Atashinda kupitia TISS na Polisi ndo sanduku lao la kura.
 
Mmeanza kuhamasisha kuiba kura, mnanza hivi hivi, mwisho ushindi lazima, mara hamna Mungu akipenda, ni kutwaa tu! Acheni kutupa presha!
 
Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.

Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.

Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.

Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Acheni kufuru hizi. Msitafute bifu na Rabana.
 
Wanawake mnaoneana wivu
Huyu ni Rais sio mwanamke ke***ne wewe
 
Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.

Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.

Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.

Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Endelea tu kumchuria

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom