Labda apate kura za Wazanzibar anaowapelekea pesa anazotupora WatanganyikaHadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.
Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.
Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.
Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Kumbuka hilo Samia ni GarbochevSahau ilo Ushindi ni palepale
Tusibishane, Watanzania wengi wanaona Mama amerejesha mfumo wa wizi wa enzi za JKWe muongo
Mama for 2025...kazi isongeHadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.
Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.
Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.
Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.
Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.
Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.
Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Ina maana mnayo Tanzania yenu tofauti na hii yenye mfumuko wa Bei usioelezeka?Hadi sasa umaarufu wa Rais Samia unazidi kuongezeka ndani na nje ya nchi. Vijana, wasomi, wakulima na wafanyabiashara wanazidi kumuelewa Rais Samia na wanaona unafuu mkubwa wa maisha tangu Rais Samia kushika Madaraka Mwezi March mwaka huu.
Hivyo hakuna wa kumzuia Rais Samia katika uchaguzi ujao.
Uchaguzi ujao Rais Samia atashinda asilimia 86% kihalali sababu ni kuwa kila mtanzania atakua na hela. Biashara zitakuwa zimechangamka, viwanda sio vyerehani nasema viwanda vitakuwa nchi nzima vijana watapata ajira, watumishi watapata nyongeza za mshahara, sekta binafsi itakuwa imeimarika zaidi na zaidi.
Pia hakuna mpinzani ndani na nje ya chama wa kushindaniwa na Rais Samia. Nawek rekodi sawa mwaka 2025 sio mbali.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Mumtoe ili iweje
Ili uwe wewe Rais Sasa
Kwani akiwa yeye kuna ubaya? miradi kashida kwenye uchaguzi? Kamanda uchaguzi ukifika daka fomu tuone.Mumtoe ili iweje
Ili uwe wewe Rais Sasa
Samia anaogopa mikutano ya vyama vya siasa, anaogopa Sana criticism, anmuogopa Sana mbowe na chadema , hawezi pata hata 10%Watanzania tutaamchagua Rais Samia kwa kishindo