Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

Ripoti inapokelewa bila makamu inawezekana bado wanabishana huko sisi tunachukulia poa tu.
 
Natamani hii ripoti iwe na mahesabu ya zile billions zinazodaiwa kuchotwa kwenye kibubu kwa ajili ya matibabu ya mzee wa nzengo...
 
Nisahihishe kama ntakosea kwan report ya CAG Huwa inajadiliwa mwezi wa nne au wa pili make bunge lijalo huwa ni la budget tu sasa nashangaaa kuona ndo anaipokea wakati ilitakiwa kupokelewa mwezi wa Pili kabla ya bunge kuanza la january to february.hii imekaaje wakuu? Au mama kaanza kutema cheche?kaziomba purposely kabisa?
 
Hii nchi ngumu sana mkuu, kuna wezi huko washafanya yao sasa tuwaache mpaka mwezi wa nne?
 
Back
Top Bottom