Rais Samia kuna mteule wako anapiga simu kuzuia habari ya wananchi Kigamboni isisambae, kuna kitu hapo si bure

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo

Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa

Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuzuia habari hiyo kutoka. Tunaamini JF naye hamtakuwa sehemu ya uminywaji wa haki ambao unadaiwa kuwa unaendelea kwa wakazi hao zaidi ya 2000.

Rais Samia, wewe ni mama yetu, Rais wa Watanzania wote, matajiri na masikini, wasaidie wamama na wananchi hao kwa ujumla wao, kwa kuwa taarifa za watu wa karibu na kiongozi huyo ambaye ni mteule wako ni kuwa anapiga simu kwenye vyombo vya habari kuzuia taarifa hiyo kusambaa.

Kinachoshangaza zaidi ni kuwa kwenye video hiyo hajatajwa jina wala hakuna sehemu ambapo jina lake limetajwa lakini bado hataki Tanzania ijue kuhusu habari hiyo wakati malalamiko yapo wazi tu hata Mange Kimambi naye aliipost.

Kuna vitu havipo sawa, JF saidieni hawa raia wapate haki yao, kuna upigaji wa maana hapo unaendelea kimya kimya wadau japo sina uhakika na hilo lakini mazingira yanajionyesha hivyo.

-------------------------------------------------------------------------------------------------
Habari yenyewe ni hii ilivyokuwa mwanzoni.

Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao​

Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea.

Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna muafaka na hiyo ni kwa kuwa kuna michezo mingi michafu inaendelea nyuma ya pazia.

Inaelezwa kuna wakati walikaa kikao na viongozi wa juu tena baadhi yao ni watauliwa wa Rais Samia kuhusu mgogoro huo, wakapikwa mkwara kuwa hawatakiwi kurekodi kwa kifaa chochote mazungumzo hayo, iwe ni kwa simu au kamera ya kawaida.

Kuna wananchi zaidi ya 2000 katika madai hayo, kati yao wapo wachache ambao wameshapozwa na hivyo wamekubali kuuza kwa bei hiyo ya buku tatu kwa square mita, wakati wenzao wengi wanataka buku nane kwa square mita.

Baada ya kiongozi mmoja mkubwa kufika eneo hilo na kufanya kikao, wakaamua kuunda kamati ndogo ili kushughulika na suala hilo, lakini hao wachache nao wakapewa kazi ya kuwashawishi wenzao ili wakubali kwa kuwa kuna maslahi ya wakubwa.

Najua Serikali ya mama Samia ni sikivu na lazima itadili na hao vigogo wanaotaka kuwanyonya wananchi kwa maslahi yao binafsi ya wachache.

Kuna vitu havipo sawa, JF saidieni hawa raia wapate haki yao, kuna upigaji wa maana hapo unaendelea kimya kimya wadau japo sina uhakika na hilo lakini mazingira yanajionyesha hivo.
Habari inasemaje,leta taarifa ya kueleweka Ili tujue pa kuanziaa
 
Hadi mkuu wa mkoa Amos Makalla nae aliwaambia mtake msitake mtaondoka tu.
Alafu hakuna mwanahaabari aliruhusiwa kuingia kwenye hiko kikao.
Kuna ujuha Sana
Ila ukweli ni kuwa watafanikisha wanachotaka, maana Kuna yule kiongozi mkubwa ana hisa nyingi hapo NYATI
 
Hivi kwanini sasahivi wananchi wanapenda kumuomba Samia kwa kutumia jinsia yake?? Au ndo udhaifu wake upo hapo?? Au ni udhaifu wa wanawake wote upo hapo??

Mfano hao wanawake wanamuomba raisi awaonee huruma wanawake wenzie, je kwenye huo mradi wanaume hawapo walioathirika nao??

Si hao tu wengi hupenda kuhusisha uraisi na uanamke wa Samia, wakitumia kama kigezo cha wao kufanyiwa haraka yale wayatakayo.

HUO NI UNAFIKI.
 
Habari za kimbea bana, Sasa upo JF halafu hautaki majina ya viongozi wanaohusika ili hata unayemtaka awasaidie ajue mnamoa tena homework hii maana yake nini?

Be straight forward acha kuumauma meno wataje, habari za namna hii zinakuwwga michosho tu bei ya ardhi haiuzwi kwa mafungu kila.mtu atauza kwa bei yake kwenye eneo lake.

Kila mtu alinunua kwa bei yake huwezi kusema ananunua kwa bei ya mafungu Kama nyanya haiwezekani, hao watu 2000 waende kituo Cha haki za binadamu watapata msaada wa kisheria wasitafute Wakili atapewa hela na hao wenye hela mawakili katika kesi za namna hii hawaaminiki kabisa.

Nakushauri wataje wahusika otherwise itakuwa uzushi
 
Habari inasemaje,leta taarifa ya kueleweka Ili tujue pa kuanziaa

Kweli kabisa hili ni jukwaa la watu-huru hivyo tunatakiwa kufunguka bila kupepesa macho wala kuzunguka zunguka. Inasikitisha mtu kuwa mwoga kuelezea kisa na mkasa kamili uliowakumba wananchi hawa na ni kigogo gani amefanya nini na nini wananchi hawa wa Kigamboni.
 
Hivi kwanini sasahivi wananchi wanapenda kumuomba Samia kwa kutumia jinsia yake?? Au ndo udhaifu wake upo hapo?? Au ni udhaifu wa wanawake wote upo hapo??

Mfano hao wanawake wanamuomba raisi awaonee huruma wanawake wenzie, je kwenye huo mradi wanaume hawapo walioathirika nao??

Si hao tu wengi hupenda kuhusisha uraisi na uanamke wa Samia, wakitumia kama kigezo cha wao kufanyiwa haraka yale wayatakayo.

HUO NI UNAFIKI.
Ndugai anasemaje kuhusu jinsia?
 
Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo

Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa

Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuzuia habari hiyo kutoka. Tunaamini JF naye hamtakuwa sehemu ya uminywaji wa haki ambao unadaiwa kuwa unaendelea kwa wakazi hao zaidi ya 2000.

Rais Samia, wewe ni mama yetu, Rais wa Watanzania wote, matajiri na masikini, wasaidie wamama na wananchi hao kwa ujumla wao, kwa kuwa taarifa za watu wa karibu na kiongozi huyo ambaye ni mteule wako ni kuwa anapiga simu kwenye vyombo vya habari kuzuia taarifa hiyo kusambaa.

Kinachoshangaza zaidi ni kuwa kwenye video hiyo hajatajwa jina wala hakuna sehemu ambapo jina lake limetajwa lakini bado hataki Tanzania ijue kuhusu habari hiyo wakati malalamiko yapo wazi tu hata Mange Kimambi naye aliipost.

Kuna vitu havipo sawa, JF saidieni hawa raia wapate haki yao, kuna upigaji wa maana hapo unaendelea kimya kimya wadau japo sina uhakika na hilo lakini mazingira yanajionyesha hivyo.

-------------------------------------------------------------------------------------------------
Habari yenyewe ni hii ilivyokuwa mwanzoni.

Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao​

Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea.

Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna muafaka na hiyo ni kwa kuwa kuna michezo mingi michafu inaendelea nyuma ya pazia.

Inaelezwa kuna wakati walikaa kikao na viongozi wa juu tena baadhi yao ni watauliwa wa Rais Samia kuhusu mgogoro huo, wakapikwa mkwara kuwa hawatakiwi kurekodi kwa kifaa chochote mazungumzo hayo, iwe ni kwa simu au kamera ya kawaida.

Kuna wananchi zaidi ya 2000 katika madai hayo, kati yao wapo wachache ambao wameshapozwa na hivyo wamekubali kuuza kwa bei hiyo ya buku tatu kwa square mita, wakati wenzao wengi wanataka buku nane kwa square mita.

Baada ya kiongozi mmoja mkubwa kufika eneo hilo na kufanya kikao, wakaamua kuunda kamati ndogo ili kushughulika na suala hilo, lakini hao wachache nao wakapewa kazi ya kuwashawishi wenzao ili wakubali kwa kuwa kuna maslahi ya wakubwa.

Najua Serikali ya mama Samia ni sikivu na lazima itadili na hao vigogo wanaotaka kuwanyonya wananchi kwa maslahi yao binafsi ya wachache.

Muonekano wa baadhi ya maeneo Kimbiji Kigamboni Dar es Salaam
KIMBIJI Kigamboni district, Dar-es-Salaam. Its Indian ocean View.

Mradi wa machimbo ya 'mchanga' Kigamboni Kimbiji eneo la Fungoni kusini mwa jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Mchanga wa makinikia (zircon-rich nature of the Fungoni deposit) wenye madini mengi yanayotumika kutengeneza vitu mbalimbali kama masinki ya maji, vifaa vya teknolojia, ujenzi kwa hali ya juu n.k.

Mchanga huo wa thamani utachimbwa huko Kigamboni na kutiwa katika makontena kisha kusafirishwa kwa barabara mpaka bandarini Dar es Salaam kupelekwa nje ya nchi kwenda kwa matumizi mbalimbali viwandani .
Stabilized zircon-ia is used to manufacture cubic zirconia, fiber optic components, refractory coatings, ceramics, dentures and other dental products etc Zircon | Geoscience Australia

The final products will be packed in containers in bulk form and transported to the Dar es Salaam port by trucks just-in-time.

The majority of zircon sand is mined in Australia and the African continent. Current annual global production is in excess of one million tonnes. Almost half of the zircon produced globally is consumed by China, with other significant consuming regions including Europe, North America, Asia-Pacific
Tanzanian Mineral Sands Projects

https://www.mining-technology.com › ...
Fungoni Heavy Mineral Sands Project - Mining Technology
 
Toka maktaba :

13 November 2021​

Dar es Salaam, Tanzania

Prof. Palamagamba Kabudi juu ya mkataba wa uchimbaji madini Freetrade interest 16% undiluted

Makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga.

Prof. Palamagamba Kabudi afafanua mchakato wa kampuni tanzu za ubia ktk mikataba ya leo ya madini ikiwemo ya mchanga

Uwekaji Saini ya Makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining Limited, Strandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre, Dar es Salaam leo tarehe 13 Desemba, 2021
Source: GILLY BONNY ONLINE TV

13 December 2021​

Dar es Salaam Tanzania / Perth Australia

Strandline Resources (ASX:STA) partners with Tanzanian govt. for mineral sands entity​

2 May 2019 Boardroom.Media, CEO Will Canty speaks to Luke Graham, CEO/MD about Strandline Resources’ (ASZ:STA) engagement in the mineral exploration and evaluation of mineral properties in Tanzania. Strandline Resources has been systematically exploring the grounds in joint venture with large metals and mining corporation Rio Tinto. Luke Graham talks feasibility study, financing with large investment banks and commercialising assets for potential mineral sands project development. Key milestones to reaching a decision to mine and potential first production are expected to come to market.

Source: Youtube

  • Strandline Resources (STA) has signed an agreement with the Government of Tanzania to form a joint venture mineral sands company titled Nyati
  • The agreement covers all of Strandline’s Tanzanian mineral sands projects, with the high‐margin Fungoni project the first set for development
  • Strandline will operate and own 84 per cent of Nyati with the Government acquiring a 16 per cent non‐dilutable free‐carried interest in accordance with Tanzanian law
  • The parties are progressing the joint project development strategy and finalising the administrative establishment of Nyati
  • Shares ended trade on Monday 7.4 per cent higher at 29 cents
Strandline Resources (STA) is set to join forces with the Government of Tanzania to establish a mineral sands business.

Under a binding framework agreement, the parties plan to form a joint venture titled Nyati Mineral Sands.

The agreement details the key terms of the partnership for the development of Strandline’s Fungoni mineral sands project near the port of Dar es Salaam and its other emerging Tanzanian mineral sands assets, including the titanium dominated, large‐scale Tajiri project.

Fungoni will be the new entity’s first project for development followed by Tajiri.

The company has previously forecast both these projects to generate around $1.43 billion of earnings before interest, taxes, depriciation and amortisation over 30 years, based on production targets.

Under the joint venture, Strandline will operate and own 84 per cent of Nyati with the Government acquiring a 16 per cent, non‐dilutable, free-carried interest in accordance with Tanzanian law.

Strandline Managing Director Luke Graham said the agreement is a major milestone for the company.
“This agreement puts us on the path to establishing a world‐class mineral sands business in Tanzania, adding to our tier‐one Coburn mineral sands project now under construction in Western Australia,” he said.

The parties now plan to advance the joint project development strategy and expedite finalising the administrative establishment of Nyati, which includes reassigning Strandline’s project assets, licences and permits into Nyati.

Shares ended trade on Monday up 7.4 per cent at 29 cents.

Source : Strandline Resources (ASX:STA) partners with Tanzanian govt. for mineral sands entity
 
Kwani hata akinunua elfu 10-15 kwa skweamita atapungukiwa na nini? Utakuta huyo kigogo anayepiga simu Habari kuzuhiwa anahodhi maelfu ama siyo malaki ya hekari sehemu zingine Tanzania. Ulafi, uchoyo na Tamaa tu.

Mijitu haina kiasi
 
JF ndiyo baba la habari, maza atakuwa kashaidaka nzima nzima nafikiri tangia jana, huyo kigogo atulie tu kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom