Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,554
GSM na mama ni kama samaki na maji.
Huwezi kuwatenga.
Kumbuka GSM ni msoga gang
Huwezi kuwatenga.
Kumbuka GSM ni msoga gang
Kikwete na GSM wapi na wapi?
Kmmk, yaan ni yeye bashite kabisaHabari yako Paul Makonda
Kikwete kaanza kuwa Yanga leo?Kikwete ni Yanga, na GSM ni mdhamini wa Yanga! Hivyo kuwatenganisha kwa sasa ni ngumu sana.
Usisahau hata mimi pia ni Yanga!
Usipomheshimu mtu kwa wadhifa wake, basi jaribu kumheshimu kwa umri alionao bila kusahau utu!!! Kuwa na adabu kijana!!!Mama na GSM ni kama chupi na matako, kwa sasa ni vigumu sana kuwatenganisha
Una miaka mingapIko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.
Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
Hapana kwao ni Uarabuni ndio maana akaitwa muarabu.Acha ubaguzi kwani Mwarabu hapa hapawezi kuwa kwao?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Na wamejipanga kuanzia Ardhi Riziwani,kule Nishati kwenye deal wameweka Makamba na kisha wameweka Puppet wao Nape ili kufanya cover ya stori zote.Iko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.
Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
Umejiuliza nyuma ya gsm yupo nani? Unafikiri kwann wale waarabu wanakiburi sana?
Waarabu wanatutisha ndani ya nchi yetu
Riziwani alishawai singiziwa kuwa Petrol Stations zote za Lake Oil kuwa za kwake Ila cha kushangaza baada ya Mzee wake kuondoka madarakani tu hayo maneno yakafa kifo cha MendeRiziwani kikwete ni mbia wa Home Shopping Centre ambayo ndio hiyo GSM ya sasa.
Wewe hujui ila wananchi wanajua..
hao ni wabongo kama ulivyo weweUmejiuliza nyuma ya gsm yupo nani? Unafikiri kwann wale waarabu wanakiburi sana?
Waarabu wanatutisha ndani ya nchi yetu
anamaanisha labda dini zao[emoji28],vijitu vijinga sana nchi hii,, eti matajiri wote wanawaona wahujumu uchumi,,,Sasa tukibaki masikini wote nani atamuajiri mwingine?.Kikwete na GSM wapi na wapi?
GSM ni mbongo acha ubaguzi was rangiHapana kwao ni Uarabuni ndio maana akaitwa muarabu.
Jiulize tu kama na wewe mmatumbi unaweza kwenda kufanya ujinga anaofanya GSM hapa Tanzania kule uarabuni.
Tanzania tunakosa viongozi wazalendo hilo tu.