Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

Na Polepole akiwa chini ya Magufuli ndiyo waasisi wa uvunjifu wa demokrasia na utawala bora.
Ni kweli kuwa baadhi ya watendaji wa kisiasa waliokuwa karibu na serikali ya awamu ya tano, akiwemo Humphrey Polepole, walihusishwa na sera na matamko yaliyokosolewa kwa kuvinyima vyama vya upinzani fursa sawa kisiasa, kudhibiti vyombo vya habari, na kuingilia uhuru wa taasisi huru.

Hata hivyo, historia ya kisiasa ni pana na inahitaji uchambuzi wa kina—kwa sababu maamuzi mengi hufanywa kwa ushawishi wa mamlaka ya juu. Wapo pia waliokuja baadaye wakakiri kasoro zilizopita na kutaka mabadiliko.
 
Mitandao siyo ya kupuuzia sana pamoja na propaganda nyingi ila inaakisi kinachoendelea Wtz wa leo SI wa Karne iliyopita wanafatilia na kuongezeka mitandaoni." Hata mbuyu ulianza kama mchicha"
Ni kweli mitandao siyo ya kupuuzwa pia siyo ya kukubali kutaharuki bila sababu
 
Mwamposa sio mkristo lakini Gwajima ndio mkristo!. Gwajima sio mpigaji?. Punguzeni siasa za kishabiki.

Kuua watu nani anao ushahidi kwamba upo uhusiano wa moja kwa moja na serikali ya SSH?.

Usitishwe na hizi kelele za hao wazungu sio kila sharti lao linaweza kutekelezwa.

Tunapambana tujitegemee ndio maana kodi inasambazwa ili wigo wa mapato uweze kuongezeka.
akili zako zitakuwa kwenye masaubri kama hadi leo hii hadi watanzania wasio na akili wanajua nani anauwa watu, wewe unajifanya hujui. kifo na kikufuate ili pengine ndugu zako wajue kweli wauwaji wapo. usifikiri upo salama sana, wakimaliza wanaowatafuta watakuja kwako hata kama unashirikiana nao au uanwashabikia watakujia tu. na kama wewe ni mmoja wa hilo genge, damu za watu mlizomwaga hazitaishia kwako tu, zitaenda hadi kwa watoto wenu hadi kizazi cha nne.
 
Bora akae kimya ...akiongea ndiyo huwa anaharibu kabisa ,ataanza mipasho ya taarabu .
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Shida hapa ni mtoto wa kike kuwa rais hana maono aliyobeba kazi ni kufuata mikumbo ya machawa tu hajui anasimamia nini

Angekuwa na akili angeishi na zile alizoita 4r kama zilivyo kisha amalize urithi wake akae pembeni
Ccm wangeshinda urais na wabunge wa upinzani wangeongezeka kungekuwa na balance na watu wangetamani kama angegombea tena nchi ingerudi kwenye siasa za kistaarabu
 
Umeongea point ya maana sana.
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Kwanza hakuna mahala mambo yanaenda vibaya zaidi ya hizi propaganda za Wapinzani na makundi ya wasaka uais ndani ya Chama chake ambayo ndio Yana engineer hizi propaganda yakitumia makanisa na kufadhili Wapinzani.

Pili,Rais hawezi leta reforms za kupoteza chama chake na pia hakuna Wana CCM watakubali hili unless wapige kura au wakubaliane ndani ya vikao kama wako tayari Kukaa pembeni.

Kama hawako tayari Kukaa pembeni basi hawezi lazimisha maana hapo ni hatari kwake kuliko kutumia mababu Kukaa kwenye kiti kama Mataifa mengi tuu ya viongozi wa Africa ambao hata wewe unajua.

Kwa mtizamo wangu wanaomyumbisha ni Watu wa Chama chake waliojipanga Kwa Urais na alishachelewa kufanya hisabati mapema basi anaweza ongoza transition wakiendelea wenyewe hutosikia tena stori za Mzanzibar kauza Tanganyika.

Nongwa ni Urais,jinsia na upande anaotokea mengine ni porojo zisizo na msingi.

Mama hakufahamu kwamba siasa ni propaganda na kwamba watu wa Tanzania Bara hawamchagui mtu Kwa kuangalia matokeo Bali Kwa vigezo vyao vusivyo na mashiko kama hivyo vya jinsia,dini,kutiana Wazalendo na trash zingine.Pia ni jamii ya watu wasahaulifu wanaenda Kwa matukio na hawajui walikotoka Wala wanakoenda na pengine hawajui wanachotaka,ndio maana usishangae watu kama kina Slowslow,Gwajiboy and the likes waliojenga na kushiriki mfumo wa ukatili awamu Ile eti Leo wanaitwa Wazalendo 😁😁

View: https://www.instagram.com/reel/DME2BMro1NG/?igsh=cWY4MmY2NG1lMzU5

Wangekuwa wanaangalia matokeo kwenye ground basi Samia ni best president kwenye delivery. Wajinga Wakiwa wengi ni hatari Wakiwa spinned umekwisha.
 
Hiyo hali ya hewa iko kwenye akili yako. Pumbavu lisilo na aibu. Watu tupo mitaani tunachapa kazi ktk hali tulivu kabisa na ht hakuna mtanzania anayewazungumzia hayo malofa, nani anamzungumzia Polepole, wapi tuleteeni ushahidi. Mpumbavu moja tu amekaa anaturushia matope km haya.
Utakuwa unakaa Kizimkazi, huku bara kila mtu anazungumzia huo ujinga wenu. Angalia hata hoja huna zaidi ya kutukana. Yaliyompata Mpoto ni ujumbe kwenda sehemu husika tu na mlengwa kwa kweli ni .......
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
WE JAMAA UKO NDANI KABISA..
KWENYE CHAMA
 
Hali ipi ya hewa imfanye samia kuitisha mkutano na waandishi wa habari? samia ni very careful leader,ni nyinyi ambao hamtaki kuelewa kwa makusudi yenu,haitishi mkutano kwa vitu vidogo hivyo
Very careful leader
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu kama una pesa,nenda kacheck afya ya akili. Ila kama ni chawa uko sahihi 💯%
Mimi nina afya nzuri sana,na tena sio afya tu Mungu kanijalia vitu vingi mno kuanzia elimu,kipato na sio hivyo tu Mungu kanipa wazazi toka nchi 2 mmoja kutoka Tanzania na wa pili nje ya nchi na huko kote nina pa kuishi,wewe huwezi kunifikia kwa lolote lile,na mimi sio chawa na hata chama sina ila ukweli ni very clear Samia ni kiongozi makini sana.Punguza chuki haitokusaidia kitu,chunguza vitu kwa makini,usifate mkumbo
 
Back
Top Bottom