Kwanza hakuna mahala mambo yanaenda vibaya zaidi ya hizi propaganda za Wapinzani na makundi ya wasaka uais ndani ya Chama chake ambayo ndio Yana engineer hizi propaganda yakitumia makanisa na kufadhili Wapinzani.
Pili,Rais hawezi leta reforms za kupoteza chama chake na pia hakuna Wana CCM watakubali hili unless wapige kura au wakubaliane ndani ya vikao kama wako tayari Kukaa pembeni.
Kama hawako tayari Kukaa pembeni basi hawezi lazimisha maana hapo ni hatari kwake kuliko kutumia mababu Kukaa kwenye kiti kama Mataifa mengi tuu ya viongozi wa Africa ambao hata wewe unajua.
Kwa mtizamo wangu wanaomyumbisha ni Watu wa Chama chake waliojipanga Kwa Urais na alishachelewa kufanya hisabati mapema basi anaweza ongoza transition wakiendelea wenyewe hutosikia tena stori za Mzanzibar kauza Tanganyika.
Nongwa ni Urais,jinsia na upande anaotokea mengine ni porojo zisizo na msingi.
Mama hakufahamu kwamba siasa ni propaganda na kwamba watu wa Tanzania Bara hawamchagui mtu Kwa kuangalia matokeo Bali Kwa vigezo vyao vusivyo na mashiko kama hivyo vya jinsia,dini,kutiana Wazalendo na trash zingine.Pia ni jamii ya watu wasahaulifu wanaenda Kwa matukio na hawajui walikotoka Wala wanakoenda na pengine hawajui wanachotaka,ndio maana usishangae watu kama kina Slowslow,Gwajiboy and the likes waliojenga na kushiriki mfumo wa ukatili awamu Ile eti Leo wanaitwa Wazalendo 😁😁
View: https://www.instagram.com/reel/DME2BMro1NG/?igsh=cWY4MmY2NG1lMzU5
Wangekuwa wanaangalia matokeo kwenye ground basi Samia ni best president kwenye delivery. Wajinga Wakiwa wengi ni hatari Wakiwa spinned umekwisha.