Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

Labda aitishe press ya kwenye mitandao ya jamii maana ndiyo kuna hali mbaya. Otherwise wa Tz wako busy kupambana na fursa za kiuchumi.

Nimepita jana Vikindu, Mbagala, Temeke na Ilala wa Tz wanapigania maisha ya familia zao. Hiyo hatari unayoiona kwenye andiko lako ni ya kufikirika tu. Kwenye ground watu wanasubiri kutiki OKTOBA
Kwamba nyie mlitaka watu wasifanye kazi kisa kuna hali mbaya ya hewa, achana na hii ya hapa kwetu vp kule Sudan na DRC kwenye vita watu wamekaa tu wakisubiri vita viishe ndo waendelee na maisha sio?

Kipi kipimo cha kuwa raia hawajari kinachoendelea?
Endeleeni kumpa ushauri huo, inawezakana mnamtega kwa kuwa mnajua lijalo mnataka kumtoa kimkakati

Lkn kama mimi ningekuwa karibu yake nisingemshauri hivyo

Mtaani watu hawaelewi kabisa hii hali wamechoka, No reforms, No election imewaingia na nakuambia subiri uone mwitikio wa kwenda kupiga kura hiyo October kama watu watajitokeza kwa wingi huo

Raia ni kama walianza kumuelewa JPM, Mama alivyopiga U-turn watu walibaki kushangaa kulichowafanya CHADEMA kupata mwitikio wa uungwaji mkono na mpaka kupelekea kupata majimbo mengi sana ya ubunge 2015 ni ufisadi uliokuwa umekithili awamu ya nne, waliolalamikiwa awamu hiyo ndo hao hao wamerudishwa

Ukiongea na raia wanakuambia mbona hii serikali inafanya mambo ya awamu ya nne, wanahisi kuna namna awamu ya nne imerudi madarakani

Hali ni mbaya mkuu, na msije kumdanganya kabisa mama afanye reforms atashindwa vibaya mno, maana nyie ni kama mnamutegeshea bomu lije limlipue na mmempotosha sana Rais wetu maana alianza vizuri sana

Yote kwa yote sisi wote ni wa Mungu, tunapenda Rais wetu msimfanyie hivyo kwani hastahiri
 
Endeleeni kujitoa fahamu huku mitandaoni,mitaani Hali ni shwari watu wanafaidi maendeleo ya Mama Samia
Kumbe kuna watu wanapatikana mtandaoni hawapatikani mtaani and vice versa
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Unamshauri chura kiziwi???🐸🐸🐸
Imagine mtu alishajiita chura kiziwi wewe unapoteza muda wako kuongea naye😂😂
Uhakika tulio nao ni kuwa hicho cheo wala hawezi kudumu nacho hadi July mwakani, mwache ahangaike
 
Kuna hewa gani imechafuka kwani ? Watu wanaendelea kuijenga nchi na amani inatamalaki halafu wewe unasema eti aongee kuituliza nchi
 
huwezi kuhisi harufu ya hewa yako chafu wakati wewe ndio unaitoa.
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Kishajua hakuna anayemsikiliza
 
Hakuna haja hiyo

Hali ya hewe ambayo ni hewa ya mitandaoni

Mitaani na vijijini kuko shwari watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida

Wanaosali ambao lengo lao ni kuabu
du Mungu tu sio kitu kinginr wanaendelea kusali kama kawaida bila kubughudhiwa na yeyote wakiendelea kutimiza haki yao ya kuabudu
Hata nyumbani tunafanya ibada eeeh
 
Hakuna haja hiyo

Hali ya hewe ambayo ni hewa ya mitandaoni

Mitaani na vijijini kuko shwari watu wanaendelea na maisha yao kama kawaida

Wanaosali ambao lengo lao ni kuabu
du Mungu tu sio kitu kinginr wanaendelea kusali kama kawaida bila kubughudhiwa na yeyote wakiendelea kutimiza haki yao ya kuabudu
Hata nyumbani tunafanya
huwezi kuhisi harufu ya hewa yako chafu wakati wewe ndio unaitoa.
Kwenye hiace ushuzi ulisababisha abiria wote washuke cha ajabu hakuna aliyebaki. Nani sasa alikuwa ameupiga ushuzi ule hatari?
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Mwamposa sio mkristo lakini Gwajima ndio mkristo!. Gwajima sio mpigaji?. Punguzeni siasa za kishabiki.

Kuua watu nani anao ushahidi kwamba upo uhusiano wa moja kwa moja na serikali ya SSH?.

Usitishwe na hizi kelele za hao wazungu sio kila sharti lao linaweza kutekelezwa.

Tunapambana tujitegemee ndio maana kodi inasambazwa ili wigo wa mapato uweze kuongezeka.
 
Labda aitishe press ya kwenye mitandao ya jamii maana ndiyo kuna hali mbaya. Otherwise wa Tz wako busy kupambana na fursa za kiuchumi.

Nimepita jana Vikindu, Mbagala, Temeke na Ilala wa Tz wanapigania maisha ya familia zao. Hiyo hatari unayoiona kwenye andiko lako ni ya kufikirika tu. Kwenye ground watu wanasubiri kutiki OKTOBA
Mitandao siyo ya kupuuzia sana pamoja na propaganda nyingi ila inaakisi kinachoendelea Wtz wa leo SI wa Karne iliyopita wanafatilia na kuongezeka mitandaoni." Hata mbuyu ulianza kama mchicha"
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Hana uwezo wa kutuliza hali ya hewa badala yake ndo atazidi kuharibu.
 
unaemwambia si kiziwi?...na ni chura pia,...sasa sijui kama anaelewa lugha za BINADAMU
 
Hiyo hali ya hewa iko kwenye akili yako. Pumbavu lisilo na aibu. Watu tupo mitaani tunachapa kazi ktk hali tulivu kabisa na ht hakuna mtanzania anayewazungumzia hayo malofa, nani anamzungumzia Polepole, wapi tuleteeni ushahidi. Mpumbavu moja tu amekaa anaturushia matope km haya.
Mbona unaweweseka sana?matusi mengi ya nini kama umeingiziwa uume wa makalio jibu kwa hoja usilete kauli zako za kishoga fala wewe
 
Back
Top Bottom