Rais Samia itisha Press, ongea na Taifa kutuliza hali ya hewa

Hakuna hofu watanzania weng wabongo zozo wamelala waoga wajinga bomu moja la machoz liliexpire linatosha kuwatawanya watanzania laki nane wanaoandamana
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Hoja zako zote ni njema naziunga mkono. Hususan hilo la mwisho ni la muhimu sana. Lakini inawezekana Mungu amemfanya moyo wake uwe mgumu kama alivyomfanya Faraoh ili Mungu afanye yale aliyokusudia.
 
ila kuna watu wanazuiwa kuabudu, makanisa zaidi ya 2000 yamefutwa, watu wanahangaika, hawafungi ndoa, hawazikani, hawaabudu, kwa sababu tu ya kiongozi wao kukosoa uuaji na utekaji. kama mnaona amekosea yeye, kwanini mnaadhibu raia ambao wengine hata hawajui kama gwajima aliongea chochote wapo huko remote vijijini hata smartphone hawana. kwa nini mnafanya hivyo?
Kanisa la kitapeli lile lifungwe tu, hatutaki yake ya shakahola yajitokeze Tanzania
 
ni kwa sababu moyo wako ni mchafu, pia jua lina watu milioni tatu na ushee hapa nchini, majengo zaidi ya 2000 ya kanisa nchi nzima, sio lazima wewe uwakubali, na hauna uwezo wowote kuwakatalia au kuwakubali, hata hili litapita kwa macho yako utaona Mungu atakavyolifikisha mwisho hili. Mungu akusaidie.
 
Hakuna kuongea hatakiwi kuongea sahivi ni muda wa kuonyesha vitendo tu , kama kuna mtu anataka kuvunja amani aingie barabarani
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Sishauri Daktari Samia Afanye press conf yoyote kwa sasa, utulivu wa kiakili na kihisia ni muhimu sana kabla ya kufikia hatua hiyo.
 
ni kwa sababu moyo wako ni mchafu, pia jua lina watu milioni tatu na ushee hapa nchini, majengo zaidi ya 2000 ya kanisa nchi nzima, sio lazima wewe uwakubali, na hauna uwezo wowote kuwakatalia au kuwakubali, hata hili litapita kwa macho yako utaona Mungu atakavyolifikisha mwisho hili. Mungu akusaidie.
Amina mkuu
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Hali ipi ya hewa imfanye samia kuitisha mkutano na waandishi wa habari? samia ni very careful leader,ni nyinyi ambao hamtaki kuelewa kwa makusudi yenu,haitishi mkutano kwa vitu vidogo hivyo
 
Labda aimbe twaarabu
 
Piga hela mama mpaka watu wakinukishe kama Kenya. Bado watanzania tuna uwezo wa kuvumilia shida kwa kigezo cha uzalendo. Mitano tena.
 
Baada ya kutuliza hali ya hewa ndio ataichafua kabisa.... Huyo chura kiziwi hana maneno ya busara zaidi ni kuchamba tu.... Bata kabisa
 
Labda aitishe press ya kwenye mitandao ya jamii maana ndiyo kuna hali mbaya. Otherwise wa Tz wako busy kupambana na fursa za kiuchumi.

Nimepita jana Vikindu, Mbagala, Temeke na Ilala wa Tz wanapigania maisha ya familia zao. Hiyo hatari unayoiona kwenye andiko lako ni ya kufikirika tu. Kwenye ground watu wanasubiri kutiki OKTOBA
Unao hili chundooo
 
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
  1. Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau, watarudisha mioyo nyuma na maisha yataendelea vizuri kwako. Kama ni kufuta watu kazi waliokufikisha hapa, usisite. Kama ni kutoa maelekezo kurekebisha mambo, fanya. Jiondoe kwenye lawama huku ukitoa maelekezo ya kuweka mambo sawa before it's too late for you.
  2. Batilisha ufugwaji wa makanisa. Watu wanakuona wewe kama Rais Muislam, unafanya hivyo kwa sababu una udini. Wanadamu hupishana kauli, ni kitu cha kawaida. Hata kama umenena mengi mabaya juu ya kanisa, jifanye mjinga, siku ipite kuokoa legacy yako. Fungua uhuru wa kuabudu.
  3. Issue ya Tundu Lissu itakugarimu sana. Elekeza DPP afute hizo kesi kwa sababu unapenda maridhiano. Kuridhiana sio kushindwa, ni kufuata maslahi mapana. Kama adhabu TL umeshampa, inatosha. Dunia nzima haikuelewi kwa sababu yake. Shida nini, kwani?
  4. Ulikuwa na uwezo kushinda uchaguzi bila hata kumfunga TL, kufuta makanisa, na kuteka na kuua watu. CHADEMA hata wangesema no reform, no election, kulikuwa na namna zingine kufanya kwa amani tu na ungeendelea na urais.
  5. Au tufanye hata ungeweka reforms, lazima ungeshinda. Hakuna chama cha upinzani kingechukua kiti chako. Wamekushauri tu vibaya. Zaidi sana wangepata wabunge wengi ila ungeendelea kuwa Rais hadi 2030.
  6. Umoja wa Ulaya watakuwekea vikwazo, utakosa pesa ya kuendesha nchi, maisha mtaani yatakuwa magumu. Watu watabadilika mioyo. Wazungu wakisababisha maandamano tu, watu wengi watakuwa na mwitikio kwa sababu tayari maisha mtaani magumu kutokana na vikwazo. Wataandamana, watakutoa mkuku mkuku madarakani. Hii ndio njia ya wazungu kuwatoa wale wasiowapenda. Hawa hawa machawa wanaokushabikia, wazungu wakiamua wanaweza kuwabadilisha mioyo kwa njia ya vikwazo, ukageukwa, wakaandamana na kukutoa madarakani.
  7. Tayari ulishajenga jina na kurudisha mahusiano na nchi za nje, lakini kwa kupambania cheo (ambacho hata ingekuwaje ungekipata), umeharibu mahusiano yote uliyoyajenga kwa gharama kubwa ya kodi zetu ulipokuwa unazunguka Ulaya. Haujachelewa, chukua hatua stahiki kujisahihisha. Kijifanya mjinga siku ipite, hautapungukiwa. Tuliza nchi kwa kuondoa yale yanayokera raia.
  8. Anayekushauri utumie mabavu kwenye kila kitu, mwondoe kwenye washauri wako. Anakupoteza. Hata kama una jeshi, polisi, TISS n.k., wananchi wakichoka huwa wanakuwa tayari hata kufa, hawaogopi. Pia, wazungu wakikuamlia, it will be too late for you. Nakushauri kwa nia njema kabisa.
  9. Mwisho, nakuomba: fungua makanisa, ni doa kubwa kako. Hao kina Mwamposa wanakudanganya, hata hawahesabiki kama ni Wakristo. Huwa tunawaona ni wapiga dili tu, hata wao wanajijua. Fungua makanisa watu wasali. Futa kikundi cha utekaji na uuaji hicho. Fukuza au badilisha washauri wako. Ukipenda, peleka uchaguzi mbele mwaka mmoja au miwili ili reform zifanyike. Utanishukuru. Mungu akusaidie.
Kama mtu akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukajua ushauri huo ni wa kijinga lakini bado ukaukubali basi wakulaimiwa siye aliyekushauri bali wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom