Rais Samia hatazima internet kwenye uchaguzi ujao?

Mkuu kwanini kumeanzishwa jukwaa mpya la KigogoForum?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka azime internet anamuogopa nani wakati Wapinzani wake wote mpaka sasa wapo hoi?
Labda tusubiri 2025 lakini kwa sasa Wapinzani wote wapo ndembendembe wamechoka
Hata magufuri alikuwa na woga hata sijui ulitokana na nini maana nae wakati huo hata hakukuwa na upinzan wa kihivo sana
 
Atazima tu,ccm ni ile ile.
 
Kama Tume huru ya uchaguzi haipo, Makada wa chama tawala ndiyo watangaza matokeo, na matokeo ya Rais hayapingwi mahakamani, mahakimu pia ni wateule wa Rais, Polisi nao ni waajiriwa wa mfumo huo huo, .........
 
Mapema sana shwaaa
 
kizimkazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…