Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

Rais Samia bila kuwasikiliza wananchi wako utakwama

Kulialia mitandaoni bila ya kuchukua hatua hakukusaidii wewe na wenye mawazo kama ya kwako.

Hatulii na ndiyo maana si Lipumba, Mbatia wala Mbowe waliotokea kwenye huo mkutano wa kupata posho na kupiga picha.

Tunataka Katiba Mpya na hiyo stay tuned tutaipigania kwa wivu mkubwa.
 
Kina Lipumba, Mbatia na Mbowe ni wawakilishi pekee wa wananchi? Wasipokuwepo basi wananchi hawajawakilishwa?.

Uzi huu umekaa kifitina zaidi.
Wewe pia umekaa kifitna zaidi. Maana ya wananchi wote unaielewa? Zito anawakilisha chama chake. Hivyo huo ni muafaka wa ACT na CCM, ambao hawajawahi kugombana.
 
Nimeshamjibu tayari. Soma namba 19 utaliona jibu langu.

Wakiridhiana nani na nani kwenye huo mkutano? Kwamba kwenye genge hilo nani kamfanya nini mwingine?

Kwenye genge hilo Rungwe au Zitto walitaka kufanya mkutano wapi wakazuiwa? Je wana wafuasi mbaroni, magerezani au mahakamani kwa sababu za kisiasa?

Si useme tu kulikuwa na posho na upiganaji picha na selfies?

Mbona JPM aliwahi kuwaasa lakini?

Mtanzania wa leo si yule.
 
Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.

Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.

View attachment 2177619

Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.

Mapungufu ya msingi yapo mengi.

Wananchi wana kiu kubwa ya kuona kuna mahusiano mapya nchini, siyo haya ya kinyonyaji.

Aangalie kwenye mkutano wa jana:

View attachment 2177624

Anaonekana Zitto peke yake mwenye tabasamu.

Wako wapi hapo kina Mbatia, Mbowe au Lipumba? Wako wapi wanao wawakilisha?

Bila kuwasikiliza wananchi wote kujua walio wengi wanataka nini, mama atatwanga sana maji kwenye kinu.
Ni maoni yako sawa- sasa twambie unataka afute kodi zote ili ufurahi?
 
Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.

Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.

View attachment 2177619

Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.

Mapungufu ya msingi yapo mengi.

Wananchi wana kiu kubwa ya kuona kuna mahusiano mapya nchini, siyo haya ya kinyonyaji.

Aangalie kwenye mkutano wa jana:

View attachment 2177624

Anaonekana Zitto peke yake mwenye tabasamu.

Wako wapi hapo kina Mbatia, Mbowe au Lipumba? Wako wapi wanao wawakilisha?

Bila kuwasikiliza wananchi wote kujua walio wengi wanataka nini, mama atatwanga sana maji kwenye kinu.
Kwa hiyo Mbowe, Mbatia na Lipumba ndiyo muhimu kuliko watanzania wote? no... kama wamaamua kususa hakuna haja ya kuwabembeleza. Maisha lazima yaendelee
 
Kwa hiyo Mbowe, Mbatia na Lipumba ndiyo muhimu kuliko watanzania wote? no... kama wamaamua kususa hakuna haja ya kuwabembeleza. Maisha lazima yaendelee

Wapi unaposoma kuwa hao ndiyo wa muhimu zaidi? Aya mwisho uliiona?

IMG_20220406_123634_060.jpg
 
Mtamfanya nini rais wa nchi?. Zaidi ya mikwara ya JF. JPM alitaka kuifungia jamii forum na hakuna hata mmoja aliyeinua mdomo wake kusema lolote.

Jikite kwenye mada mjumbe. Asipowasikiliza wananchi - atakwama.

Ya kufanyana nini yanahusika vipi hapa ndugu mjumbe?
 
Yawezekana Rais Samia ana nia njema ya kuleta maendeleo.

Hata hivyo ni muhimu sana akayaelewa mazingira aliyomo yeye na sisi ni tofauti.

View attachment 2177619

Yeye na wenzake kodi haziwahusu, mishahara kwao ni minono, wanakula na kusaza kwa kutukamua sisi, hatuko sawa mbele za sheria nk.

Mapungufu ya msingi yapo mengi.

Wananchi wana kiu kubwa ya kuona kuna mahusiano mapya nchini, siyo haya ya kinyonyaji.

Aangalie kwenye mkutano wa jana:

View attachment 2177624

Anaonekana Zitto peke yake mwenye tabasamu.

Wako wapi hapo kina Mbatia, Mbowe au Lipumba? Wako wapi wanao wawakilisha?

Bila kuwasikiliza wananchi wote kujua walio wengi wanataka nini, mama atatwanga sana maji kwenye kinu.
Eti anahubiri haki? Muulize nini kimesababisha tuitafute haki? kilichodanya haki ikosekane kimetatuliwa?

Mbona Rais anakuwa kama anajiaibisha hivi?
 
Baadae ikawaje endeleeeeaaaa msimuliaji.

Chawa wana hasira kali kuona kuwa kimsingi walichotaka kutuaminisha ni mkutano wa haki, amani na maridhiano umebainishwa wazi wazi kuwa ni utapeli kama wa matapeli wengine tu.
 
Zitto kimsingi sio mpinzani, ni sehemu ya serikali huko Zanzibar, na hata huku bara alishasema hatakuwa anampinga Samia kama alivyofanya wakati wa Magufuli, kwa hiyo hata kama Samia akikosea Zitto atakuwa kimya.

Hii maana yake hapo kwenye huo mkutano wa TCD serikali ndio ilihudhuria huo mkutano, vyama vya ukweli vya upinzani havikuwa na muwakilishi.

Vyema kama kweli wako serious wanataka kuleta amani na maelewano hapa nchini, waanze kwa kuwakaribisha wapinzani lakini sio kujadili jambo ambalo lipo wazi kisheria, huo utakuwa ni utoto.
 
Chawa wana hasira kali kuona kuwa kimsingi walichotaka kutuaminisha ni mkutano wa haki, amani na maridhiano umebainishwa wazi wazi kuwa ni utapeli kama wa matapeli wengine tu.
Ngoma imegoma
 
Back
Top Bottom