Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

Nyasi-Man

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2023
Posts
928
Reaction score
2,053
Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya.
WhatsApp Image 2025-05-13 at 1.36.13 PM.jpeg

Tanzania imepatwa na zimwi kwakweli. Tuendelee kumuomba sana Mungu.
 
Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya.
View attachment 3332592
Tanzania imepatwa na zimwi kwakweli. Tuendelee kumuomba sana Mungu.
Wakenya wajinga hao Hype yote hio ya nini
 
Back
Top Bottom