BALOZI MATINYI AWASILI ALGERIA
Balozi Mobhare Matinyi amewasili jijini Algiers, Jumanne, tarehe 19 Mei, 2026, tayari kuanza majukumu ya kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria.
Balozi Matinyi alilakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...