PreGE2025 Rais Samia Awaahidi Wananchi Uchaguzi Mkuu Utakuwa Wa Amani, Huru, na Wa Haki, Kama Ulivyokuwa wa Serikali za Mitaa 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ile ilikua hotuba kwa ajili ya kwa wana ccm wenzake na watu wote wasiotaka kusikia neno haki likitamkwa hata kidogo
 
Rais anawafanya wananchi hawana akili ndiyo maana anatoa kauli zilizo kinyume na matendo. Mchengerwa yupo kutekeleza kazi aliyoifanya 2024.
inaumiza sana aisee👿
 
Samia mjinga, anataka kucheza mpira na timu nyingine wakati Firimbi ameishika yeye. Wajinga watakwenda kumchagua mjinga mwenzao.
 
Yaani huyu kazi ipo, huo uchaguzi wa 2024 haukuwa huru na haki...ulijaa dhurma ndio maana taifa kwa %kubwa halitaki uchafu ule urudiwe...yeye ndio anatolea mfano kuwa ndio uchaguzi mzuri....kweli shida ipo. Tuwaulize waswalisuni wao wanamuelewaje ndugu yao
 
Liongo tu hilo
 
Hivi leo hakuna maonyesho ya kuvunja matofari kwa mikono au ratiba imeingiliwa na kuitwa kwa Papa? ...
 
 

Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
"Penye kuona tumia macho kuona, kamwe usithubutu kutumia masikio ili uone, vinginevyo utaangamia wewe na jamii yako, haijalishi hata mkichelewa, mtaangamia tu!". By IQ.
 
Rais anawafanya wananchi hawana akili ndiyo maana anatoa kauli zilizo kinyume na matendo. Mchengerwa yupo kutekeleza kazi aliyoifanya 2024.
Rahisi anafikiri raia woote hatuna akili kama yeye!
Kwa taarifa yake kumbukumbu tunazo kuanzia hata pale alivyosafiri na genge lake kwenye Royal Tour kwenda USA halafu akatudanganya ni pesa za baadhi ya wadau na kwamba iko siku atatutajia majina yao...mpaka leo kimyaa!!!.
Urais ni dhamana tu, asituchukulie poa!
 
Kwa Samia, ule
ndio uchaguzi huru na wa haki. Ndio uliothibitisha kuwa huyo mkwe wake, mwovu Mchengerwa, ana kifua kipana cha kuweza kudhulumu haki ya watu mamilioni, na wote wasifanye chochote.
Hawa Watu ni nanihiii Sana
 
Mpumbafu pekee ndio ataweza amini hayo maneno.

Kama anadhamira ya dhati badili katiba badili na ondoa sheria za tume ya uchaguzi za yeye kuteua watendakazi wa tume.

Pia aondoe sheria ya zuio la matokeo ya urai kuhojiwa mahakamani au yeye kutoshitakiwa.

Akifanya hivyo kwenye maneno yake yataaminika tofauti na hapo ni kupoteza muda kwenda kupiga kura.
 
Hizo ahadi ampe mkwe wake Che Guevara wa Rufiji.


Kwa kweli huyu mama anatia hasira. Hilo shetani Mchengerwa, mkwe wake limefanya uovu mkubwa 2024, likawafanya watanzania wote hawana akili, halafu analisifia na kulitaka lije liharibu tena uchaguzi wa 2025? Wameifanya hii nchi kuwa ni shamba la familia. Lazima tuseme, hapana.
 
Ahahah, wa serikali za mitaa nakumbuka sijui ulikuwaje!!! Ila kama ulikuwa wa haki fulani
 
Watanzania kwa sasa tupo kwenye ukoloni mbaya zaidi kuliko ule wa taifa dhidi ya taifa jingine. Sasa tupo kwenye ukoloni wa kundi fulani la kishetani ambalo ukoloni wake ni mbaya zaidi kuliko hata ule wa mjerumani.
 
Kwenye hotuba zake zote hiyo nahisi ndo itakua hotuba ya ugoro alowahi kuitoa,, ngoja tungoje inayofata ya more ugoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…