Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,357
- 23,760
Ndugu zangu Watanzania,
Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais wetu Tangia akiwa tumboni Mwa Mama yake katika ulimwengu wa kiroho..
Sijapata kuona Rais mwenye kukubalika ,kupendwa ,kuheshimika ,kuaminika na kuungwa mkono kama Rais Wetu Mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kila palipo na uwepo wake ni furaha , tabasamu kwa watu wote.
Sasa katika muendelezo wa kuonyesha kukubalika kwake na ushawishi mkubwa alionao kwa watu na kwa viongozi wenzake ameweza kuteuliwa kama Bingwa wa Afya ya Mama na mtoto. Hii ni baada ya kutambua na kuona namna alivyofanya kazi kubwa ya kupunguza kwa kiasi kikubwa vifo vya Mama na mtoto.
Hii ni baada ya kufanya uwekezaji mkubwa sana katika sekta ya afya . Kwa kujenga vituo vya afya kwa wingi ,kuajiri watumishi wa afya ,kusambaza madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali nchini kote ili kuwafikia wagonjwa wote ambao hawana uwezo wa kusafiri kwenda hospitali.
Ndio Maana sasa Dunia na Afrika kwa ujumla wake inarudisha pongezi kwa Mama yetu na kumpa heshima hiyo ili asaidie bara zima la Afrika kumaliza ama kupunguza vifo vya Mama na Mtoto. Rais wetu Mpendwa anafanya kazi kubwa ya kuhakisha kuwa kila mtoto anayezaliwa anakua katika afya njema mpaka uzee wake.
Lakini pia anafanya kazi ya kuhakikisha ya kuwa akina mama wajawazito wanajifungulia mahospitali na kupata huduma bora kabisa na stahiki kwa ufanisi na uangalizi wa karibu wa wahudumu wa afya.
Niseme tu kuwa kama una chuki binafsi na Huyu Rais wetu Mpendwa unakuwa unajisumbua tu na kujitafutia magonjwa ya moyo ,kisukari ,presha na msongo wa mawazo. Maana Mama ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.