Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

Magufuli hakutaka kusikiliza la mtu. Msijitoe ufahamu nyinyi 🚮🚮🚮
Hujaona nilipozungumzia katiba mpya kwenye hilo bandiko ulilo ni quote? Umesoma bandiko lote ukalielewa? Ama umejikita kwenye “nonsense cherry-picking?”

Lazima kuwepo na msitari ambapo uwajibikaji ama “accountability” itakuwepo. Ili kwamba washauri watoe ushauri na usipochukuliwa, kama ni wa maslahi ya Taifa na mshauri huyo anaamini hivyo, basi ajiuzulu mara moja siyo kuendelea kutafuna kodi kwa tamaa binafsi mkisubiri kusema “rais hataki ushauri” na huku rais mwenye akiwa na kinga ya kutokuulizwa lolote kuhusiana na madhambi yenu.

Madhambi ambayo hata chama chenyewe kinacholindwa na kina Siro, Kingai, Goodluck na Mahita hakipo responsible.
 
Kumbe ufisadi mkubwa ulianzia awamu ya tano ya Mungu wa Chato😁😁😁
 
Mwache aendelee kushupaza shingo huku chawa wakimuharibia
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
 
Hakika ukiwa na akili nchi hii utapata shida sana
Ujinga kila kukicha
As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.

Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!

Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.

“There must be somewhere where the line is drawn”
 
Alishauriwa mapema awateme wateule wa Magu yeye kaamua kuwa kumbatia. Acha wamhujumu. Huku wezi, kule kumchafua kwa kesi za kubumba. Hadi akome. Siro hakustahili kuwepo ofisi ya umma leo... Alistahili kuwepo magereza.
Correct kabisa,yaani huyu Rais Samia atamaliza miaka 5 anapambana tu na hujuma.

Mpaka hapo atakapoamua kusafisha mabaki yote ya Magu there will be no peace for her throne
 
As if awamu ya tano hakuwepo kama makamu wa Rais. Nafasi ambayo ilitakiwa awe mshauri wa rais. Katiba mpya ina umuhimu sana.

Wale wale waliokuwa viongozi wakubwa kabisa wa awamu ya tano wakati wa madhambi hayo, eti wanasema madhambi siyo ya awamu ya sita!😄🤦🏾‍♂️

Hapo ina maana rais peke yake ndo mtendaji wa serikali.

“There must be somewhere where the line is drawn”
Rais Samia ameelezea tatizo na hatua alizochukua.
Kuhusu katiba mpya ,Kenya kuna katiba mpya lakini Rais Kenyatta na Makamu wake wanaparurana wazi wazi.Kudhani kwamba katiba mpya ndio magic bullet ya matatizo ni kuwa naive.
Inawezekana alishauri ushauri ukakataliwa.Who knows?
Kumpa Rais ultimatum ni kupoteza muda tu.
Kulaumu ni rahisi sana kuliko kuleta solutions.
 
2. Mkataba wa ujenzi wa meli tano, kampuni ya YUTEK iliyoshinda zabuni ambayo inatoka Uturuki baada ya kuchunguzwa ikabainika haina sifa wala haijawahi kujenga meli ila ni kampuni ya kidalali....

YÜTEK Shipbuilding 180 million dollars contract

The Turkish shipbuilding industry signed 4 new shipbuilding contracts to the Tanzania Ministry of Transport within the framework of its African expansion.

YÜTEK Shipbuilding Industry Company signed a new ship contract for the Tanzania Ministry of Transport to build 2 general cargo, 1 passenger and 1 wagon ferry ship. It was learned that the cost of the project was 180 million dollars.

Read more : YÜTEK signed 4 new shipbuilding contracts to Tanzania Ministry of
 
Back
Top Bottom