Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

Hatua alizochukua hazitoshi....bado TPA itaendelea kuwa pango la wanyang'anyi...
 
Kwenye Bodi nyingi unamkuta yule mama Jaine Nyimbo! Huyu ni moigaji kweli kweli - hata huko TPA yupo sasa sijui kwanini amekuwa akiwekwa wekwa sana palipo na upigaji! Mama hongera kumshtukia!
 
Back
Top Bottom