Hapa ni wapi? Hapa ni wapi? Hapa ni wapi?Tujiandae kuzimiwa internet muda wowote..
Maaana slowslow lazima ajibu
Nadhani unachanganya kati ya mtu kuwa balozi na mtu kuwa balozi. Hadhi ya balozi haitoi sifa nyingi kati ya hizo ulizoandika.1. Upatikanaji wa huduma za kipekee kwenye viwanja vya ndege (kama chumba cha VIP)
2. Uwezo wa kuhudhuria hafla za kimataifa bila vizuizi
3. Uungwaji mkono wa kisheria na ulinzi wa kimataifa
4. Fursa za mitandao ya kijamii na kitaaluma na viongozi wengine
5. Uwezo wa kuwakilisha maslahi ya taifa au taasisi kimataifa
6. Upatikanaji wa taarifa za siri au za kipekee (kulingana na makubaliano)
7. Uzoefu wa kujadili na kusuluhisha migogoro ya kimataifa
8. Kuimarisha uhusiano wa kibinafsi na kitaaluma na wawakilishi wa nchi zingine
9. Kinga ya kidiplomasia
10. Msamaha wa kodi na ushuru
11. Ustawi wa kifedha
12. Uwezo wa kushawishi kimataifa
13. Fursa za ushauri na kazi za kujitegemea
14. Heshima na hadhi ya kijamii
15. Uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa
16. Uzoefu wa kuongoza na kushirikiana na mataifa
Polepole alijua nini kingefuata na hakuna cha kushangaza kwakeWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
🤔🤔🤔🤔Ametengua uteuzi wa mtu aliye jiuzulu?? Pathetic.
Mtu alijiuzulu unatenguaje wangesema amekubali ombi la kujiuzulu.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Ndo lengo haswa hapo kwenye diplomatic passport ..Maybe diplomatic passport? Kupita na diplomatic bags airport ambazo hazikaguliwi? Immunity from prosecution nchi unayoenda? Preferential treatment kwenye huduma zote za serikali za ndani na nje I guess
Angekausha wangesema amemwogopaMama sometimes angekua anakausha tu.
Haimsaidii ni kijizalilisha tu.Bi mkora ana gubu.
Sisi bado tunamtambua ni balozi mstaafuWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Dk Samwel Shelukindo imeeleza kwamba, imepokea barua kutoka kwa Katibu Mkuu, Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka ikitaarifu kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyo nayo chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametengua uteuzi wa Hamphrey Polepole, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kumuondolea hadhi ya ubalozi.
Aidha, Rais Samia, kwa mamlaka aliyonayo chini ya sheria ya utumishi wa umma amemuachisha kazi Polepole kwa manufaa ya umma.
Kwa mujibu wa barua hiyo, uamuzi huo umeanza tangu Julai 16, 2025.
Mzee mwizi Sana yule, nadhani ndo anaongoza kua na ardhi nyingi Kwa hapa tanzaniaEL amepitia mengi, apumzike salama yule mzee.
Nilikua nampenda mie, daaah
Kwani Mkuu aliyemteua awe balozi ni nani?Kwaiyo Polepole alikuwa anamuakilisha Sir mia binafsi au Taifa?
Kuuliza swali hili lengo langu kuona jinsi gani yule namba 1 moja anatumia vibaya madaraka.